Uko sahihi mkuu.Shida ukidumu kwenye biashara moja, vipi kesho hio biashara ikaingiliwa na wababe zaidi yako?
Ndio mana watu wanajaribu kuwa na biashara japo 3 + mashamba ya matunda na miti na korosho + nyumba za kupangisha na UTT juu
Sasa unakuaje na multiple sources za income ilihal umesema unawekeza sehemu moja kuepuka kutawanya mtaji.Uko sahihi mkuu.
Jambo la msingi ni kuwekeza pesa sehemu pamoja na wajuzi ama ukiwa mjuzi mwenyewe.
Ni sahihi kabisa kuwa na multiple source of income
Hiyo ya kutawanya mtaji sijasema mimi mkuu.Sasa unakuaje na multiple sources za income ilihal umesema unawekeza sehemu moja kuepuka kutawanya mtaji.
Kiuwekezaji tunasema "don't put all your eggs in one basket"Shida ukidumu kwenye biashara moja, vipi kesho hio biashara ikaingiliwa na wababe zaidi yako?
Ndio mana watu wanajaribu kuwa na biashara japo 3 + mashamba ya matunda na miti na korosho + nyumba za kupangisha na UTT juu
Sio supa lakini namzidi mbali sana Ila nina kumbukumbu mbaya ya utajiri wake juu yangu.Unamsaidiaje sasa, kutokana.na maelezo yako inaelekea wewe sasa hivi mambo ni supa.
Si mchezo samehe tu, tunapita.Sio supa lakini namzidi mbali sana Ila nina kumbukumbu mbaya ya utajiri wake juu yangu.
Kwakuwa kisasi ni haki siwezi kumsaidia chochote zaidi namuonea huruma tu.
Dah na mimi nipo kama wewe , Huwa sikubali kulala guest Huwa mazingira yaake yananichanganya, guest Haina Haina laundry machine, wanalipa 20 wanafanya ngono humo, wanatoa mashuka wanatandik mengine ,.kwa kwa kweli sipendi.guest na akili imejipanga hiivo, mimi Huwa kulala ni hotelini tu ,nimejifunz kitu why hotelini , kwani wengine wanapoteza nin wakila guestKatopic kazuri, ukianguka tuliza akili utaamka.
Miaka fulani nilikuwa silali hotel ambayo ni chini ya elf 50 kwenda juu.
Baadae nikauguliwa na mama mzazi nikatumia hela zote na hakupona akafariki, Kuna siku nakumbuka maeneo ya Tandika nimeingia Guest chumba elf 15 mm nina elf 10, nilimuomba mhudumu akasema nakupa ila jitahid hata kukopa kesho umalozie elf 5. Niliingia room nililia kiume kitandani nikajisemea kwamba sasa nimejua kabla hujafa hujayaona ya Dunia.
Nikaendelea kujivuta vuta nikawa saww tena baada ya miaka kama miwili.
Ila pia utawala wa huyu Hangaya haubariki biashara zangu kwa sasa, profit margin inashake balaa
Nikikusimulia unaweza kunituma nikammalizeSi mchezo samehe tu, tunapita.
Umenikumbusha.Katopic kazuri, ukianguka tuliza akili utaamka.
Miaka fulani nilikuwa silali hotel ambayo ni chini ya elf 50 kwenda juu.
Baadae nikauguliwa na mama mzazi nikatumia hela zote na hakupona akafariki, Kuna siku nakumbuka maeneo ya Tandika nimeingia Guest chumba elf 15 mm nina elf 10, nilimuomba mhudumu akasema nakupa ila jitahid hata kukopa kesho umalozie elf 5. Niliingia room nililia kiume kitandani nikajisemea kwamba sasa nimejua kabla hujafa hujayaona ya Dunia.
Nikaendelea kujivuta vuta nikawa saww tena baada ya miaka kama miwili.
Ila pia utawala wa huyu Hangaya haubariki biashara zangu kwa sasa, profit margin inashake balaa
Ukifika Mbeya uliza aliko Shaban Chawe aliyekuwa anamiliki mabasi ya Fresh Ya Shamba, helicopter za ukokozi enzi za elnino ya miaka ya 2000.Moja ya jambo linalotisha kwenye maisha ni kufilisika, ulikuwa na mali zako kidogo zinakusogeza na zinakupatia chochote, una watu wamekuzunguka unawapa kazi na unawapatia chochote japo kidogo, then inatokea hiyo hali inakata, humiliki Cha maana, mission za mjini zimekata, huonekani aisee unapauka, mahitaji ya msingi unayaona ni anasa, tabia za majungu zinakurudia, kutoka kutafuta muda saizi unawaza upotezaje muda, hali hii Huwa inatisha na kuchanganya sana.
Ninapokuwa mjini na ninapokutana na kaka zangu na watu tofauti wa hapa kwetu hasa wale walionekana miaka Ile wamebotoa au wapo njiani kutoboa halafu unakuta wamechoka, uzee huu hapa, ngozi zao hazishawishi, wamechagua kufanya kazi ndogo ndogo, mara bodaboda nk, wanakuomba pesa.
Niseme ukweli mimi binafsi nafsi yangu inangia na huzuni na hofu, huwa najiuliza wao walikosea wapi na mimi nina nini cha maana ambacho kinaweza kuwa ni ngao na uhakika.
Nikiwa kanisani nimejikuta sala yangu ni kuomba, "Mwenyezi MUNGU mwingi wa upendo, azibariki siku zangu, aniondolee siku za mateso, aniepushe na mikosi, laana na mabalaa," kwani Sioni what so special nilichonacho, je wewe unafanyaje ili usikae nje ya mstari wa maisha?
Familia boraMoja ya jambo linalotisha kwenye maisha ni kufilisika, ulikuwa na mali zako kidogo zinakusogeza na zinakupatia chochote, una watu wamekuzunguka unawapa kazi na unawapatia chochote japo kidogo, then inatokea hiyo hali inakata, humiliki Cha maana, mission za mjini zimekata, huonekani aisee unapauka, mahitaji ya msingi unayaona ni anasa, tabia za majungu zinakurudia, kutoka kutafuta muda saizi unawaza upotezaje muda, hali hii Huwa inatisha na kuchanganya sana.
Ninapokuwa mjini na ninapokutana na kaka zangu na watu tofauti wa hapa kwetu hasa wale walionekana miaka Ile wamebotoa au wapo njiani kutoboa halafu unakuta wamechoka, uzee huu hapa, ngozi zao hazishawishi, wamechagua kufanya kazi ndogo ndogo, mara bodaboda nk, wanakuomba pesa.
Niseme ukweli mimi binafsi nafsi yangu inangia na huzuni na hofu, huwa najiuliza wao walikosea wapi na mimi nina nini cha maana ambacho kinaweza kuwa ni ngao na uhakika.
Nikiwa kanisani nimejikuta sala yangu ni kuomba, "Mwenyezi MUNGU mwingi wa upendo, azibariki siku zangu, aniondolee siku za mateso, aniepushe na mikosi, laana na mabalaa," kwani Sioni what so special nilichonacho, je wewe unafanyaje ili usikae nje ya mstari wa maisha?
Kufilisika ni kubaya sanaMoja ya jambo linalotisha kwenye maisha ni kufilisika, ulikuwa na mali zako kidogo zinakusogeza na zinakupatia chochote, una watu wamekuzunguka unawapa kazi na unawapatia chochote japo kidogo, then inatokea hiyo hali inakata, humiliki Cha maana, mission za mjini zimekata, huonekani aisee unapauka, mahitaji ya msingi unayaona ni anasa, tabia za majungu zinakurudia, kutoka kutafuta muda saizi unawaza upotezaje muda, hali hii Huwa inatisha na kuchanganya sana.