Unafanya nini mbwa wako kuwa mkali

Unafanya nini mbwa wako kuwa mkali

Mbwa ili wawe wakali fuga zaidi YA mmoja ILO ndilo suluhisho la mbwa wasio wakali... Mimi ninao watatu mmoja ni 8yrs, 4yrs na mwingine ni 4 monthly.... Huyu mkubwa abweki ovyo ni mzeee wa silent killer na akibweka sauti yake mzito na kuna jambo hapo... Huyu wa kati yeye ni kelele mingi akisikia geti limeguswa mtu kasema hodi yeye ni kubweka ni mkorofi by nature huyu hata akiona kunguru katua juu YA banda ni kubweka tu.... Huyu mdogo ni mzeee wa mishe mishe Usiku alali yeye ni kuzunguka akiona paka anabweka, upepo ukitingisha mauwa ni kubweka, mkisahau nguo viatu vya mgeni asubuhi mnakuta matambara... Ukali wa mbwa Mara nyingi ni nature wazazi wake na kujiamini kwa mbwa mwenyewe. Mm huyu mbwa wangu mkubw atishiki ukiinama uokote jiwe akimbii muda Wote mkia upo juuu ajui kufyta Sasa hole wako ukimbie.... Unapotaka kufuga mbwa usinunue mbw ni mbw uliza historia YA wazaz kama walikuw wakali wasikivu, awanyi kweny banda hovyo hovyo.Kuna mbwa wanatabia YA kulia wakiw Kwenye banda Mara nying hawa uwa mbwa Koko awa ndio inabidi muwaboost na bangi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Aise mi nanao 8 ila akija mgeni asiache viatu nje maana kama hukuwatambulisha basi viatu hivyo kesho mkanunue vingine tu maana mtakutana na vijimasalia....na watu huwa wanapiga simu kuuliza kama tupo ndo ili wakpokelewe getini maana huwa ni dhoruba wakisikia mgeni
IMG_20181003_203909_2.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Aise mi nanao 8 ila akija mgeni asiache viatu nje maana kama hukuwatambulisha basi viatu hivyo kesho mkanunue vingine tu maana mtakutana na vijimasalia....na watu huwa wanapiga simu kuuliza kama tupo ndo ili wakpokelewe getini maana huwa ni dhoruba wakisikia mgeni View attachment 893278
Daah hapo ulinzi tosha mkuu.
 
MIE NDIO NIMENUNUA MBWA WADOGO..... swali langu je _wakiwa bandani muda wote ni sahihi au niwe nawatoa kama kawaida
Mkuu ninavyojua mbwa lazima afanyiwe socialization angali mdogo, nao wanahitaji game time, wakimbie kimbie, wagale-gale kwenye vumbi kidogo,hii husaidia mbwa kuwa na mazoezi na asiwe mkali kupitiliza anaweza kujeruhi mtu. Kama bado wadogo walau saa moja wakishinda nje haina madhara.
 
Dah mkuu wewe hufai kufuga hata kunguni! kwa nini unampa mateso na stress mbwa wako hivyo?
Hao wanyama wengine ni family zetu na unatakiwa u mtreat like a son or daughter you love ,huo wako ninujinga na upuuzi.
Baada ya kutoa povu naanza kukuelekeza.
Kabla hujaamua ku keep a dog lazina ujiulize unamtaka kwa ajili gani.
1.Kuna mbwa mshikaji tu
2.Kuna mbwa wa ulinzi.
Kuna mbwa wa kuongozea njia hasa kwa walemavu wasioona.
3.kuna mbwa wa kuwindia
4.Kuna mbwa wa kusaidia kuchunga.

Kwa kila hitaji hapo juu kuna different breed of dog to choose from but majority ya mbwa wa kienyeji ni hunting dogs yaani wao ile natural insticts yao ya uwindaji ipo juu sana kuliko hawa breeds kutoka nje kumlazimisha kuwa mlinzi maguvu ni kumuonea ila naturally mbwa yeyote akiona stranger eneo la kujidai lazima atachonga mdomo tu huo ni ulinzi tosha.
ukitaka mbwa mguvu kamua mahela vuta G-Shepherd,Rottweller ,Pitt bull or Terrier Bull na kadhalika na aina hizo lazima ukawa train nenda tu pale polisi kikos cha mbwa wata mtrain mbwa wako utalipia ararudi home full discipline and full maujuzi ya ku deal na vibaka.
Nafunga kwa kurudia tena pets are family and treat them with love and respect!
See ya!
Animal lover
Uko vizuri sana mkuu nawapenda wanyama sana na wakikosa chakula huwa niko tayari kuwapikia cha kwetu ili mradi wale tu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Aise mi nanao 8 ila akija mgeni asiache viatu nje maana kama hukuwatambulisha basi viatu hivyo kesho mkanunue vingine tu maana mtakutana na vijimasalia....na watu huwa wanapiga simu kuuliza kama tupo ndo ili wakpokelewe getini maana huwa ni dhoruba wakisikia mgeni View attachment 893278
Ndo raha ya kufuga mbwa, mi nachukizwa na wageni wanaokuja bila kutoa taarifa. Yani inakua ni usumbufu, mtu anakuja saa saba msosi ushapikwa, inabidi mtu aingie tena jikoni[emoji35]
 
Hakikisha banda la mbwa liwe mbali kidogo na watu. kama ni nyumbani banda jenga nyuma ya nyumba ili mbwa asiwazoee watu. Hakikisha mbwa unamlisha mwenyewe au mtu maalumu. Usipende sana kupeleka wageni kwenye banda la mbwa. usimpe jina mbwa wako. usisahau kumpa mbwa wako mbanje(bange)
Usipompa jina utawasiliana naye vipi

Hapo kwenye jina nabisha, mpe jina kalikali kama simba, Chui , mamba, (hata dab ili hawe mtekaji) ili awe mkali
 
Hapo kwenye jina nabisha, mpe jina kalikali kama simba, Chui , mamba, (hata dab ili hawe mtekaji) ili awe mkali
Au Van Dame, Chuck Norris, Bolo Young, Dhamendra Khan, Bruce Lee n.k. Majina ya kibabe babe..😇😇😇
 
Nakumbuka zamani tukiwa kijijini tulikuwa tunawavutisha sigara
 
Ulitaka ajisaidie wap wakat umemfungia zaid ya masaa 12
Watu tunasafiri kwa bus zaidi ya masaa 12-18 lakini hatujisaidii kwenye bus,tunafuata utaratibu, anyway tuweke utani pembeni-mimi nina mbwa mdogo wa miezi minne alikua fala sana kipindi namchukua kelele kulalamika hovyo mpaka kero kwa majirani, pia akawa anajisaidia hovyo bila utaratibu bandani, nilianza mafunzo ya kumtrain ulaji kuwa serious na kujisaidia sehemu maalumu niliyomtengenezea bandani, kufahamu watu wote wa familia hadi watoto wadogo-saizi yuko poa hapigi kelele bila utaratibu anajisaidia sehemu yake, ugomvi wake ni kwa wageni hadi raha... Chakushangaza nguo ikidondoka kwenye kamba au viatu vinazagaa anabeba kwa mdomo wake anakuja kudondosha mlangoni kuingia ndani na bado ni mbwa mdogo kwa umri... ila upande wa chakula bado shida anataka nyama tu though ninamfundisha vyakula vingine vya mbwa mdogo mdogo...
 
Back
Top Bottom