Sio kila mbwa ni mkali... Yani umeokota mbwa njian unatarajia awe mkali?? Sio tu unafuga mbwa kwa ili uonekane umefuga...
Google hawa wanyama...
1.
German shefield..huyu ni common sana na hata wanajeshi wanawatumia, pia ni rahisi kuwafindisha.
View attachment 642311
View attachment 642308 View attachment 642309 View attachment 642310
2.
Rottweiler. Hawa ni balaa tupu... Ukijichanganya kwenye anga zao wanaweza kukusambaratisha hata wewe mmiliki!!
View attachment 642317 View attachment 642318
3.
Bull dog. Huyu nae ni balaa ingine, ana uwezo wa kuvuta hata gari dogo mwenyewe, ni mbwa mwenye nguvu sana!!
View attachment 642324 View attachment 642323 View attachment 642322
Rottweiler na pitbull hawapendi kuchanganywa na species nyingine, na ukijaribu kuwamix na mbwa wengine jua dhoruba itayotokea hapo wenda hata wewe utakimbia kwa uoga!!