- Thread starter
- #41
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo njia ya kuwavutisha ganja ilinishinda ndo maana nikaja na uzi huu kupata njia nyingine .hahahaha
mkuu wewe ukipimwa mkojo huchomoki!!!
ata wewe ni teja pia ...unavuta kitu cha Ar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo njia ya kuwavutisha ganja ilinishinda ndo maana nikaja na uzi huu kupata njia nyingine .hahahaha
mkuu wewe ukipimwa mkojo huchomoki!!!
ata wewe ni teja pia ...unavuta kitu cha Ar
Dah mkuu wewe hufai kufuga hata kunguni! kwa nini unampa mateso na stress mbwa wako hivyo?Salaam wakuu, kwanza niwatakie mapumziko mema ya sikukuu ya Maulid.
Kama title inavyojieleza nataka tushare na wewe mbinu mbalimbali za kumfanya mbwa wako kuwa mkali zaidi na kuogofya wezi na vibaka mtaani pengine hata wageni wakifika getini waulize "mbwa mmemfunga?[emoji28] [emoji28]
Kwa kuanzia binafsi nimetumia mbinu tofauti tofauti hasa kwa mbwa wa kienyeji kama ifuatavyo:
1.Kumvutisha msheshe aka ganja na hapa unamwekea pia kwenye msosi.
2.Kumwekea nyigu kwenye banda wanamuuma kwa muda mrefu akitoka halo ni shida.
Kwa wafugaji wa mbwa nawe share hapa unafanya nini mbwa wako kuwa mkali zaidi ili kubadilishana uzoefu.
Aksante
na ndio miongoni mwa pure breed ya mbwa wakiwa ni direct descendant kutoka kwa mababu zao mbwa mwitu hakuna mix kubwa ya breedsWengi sana ni ridgeback
Mkuu Mbwa wangu kaishiwa nguvu na baada ya siku km 3 hvi alikuwa hali...nikaanza kumpa uji akawa anakunywa kabisa...SASa nimekuja gudua miguu ya nyuma haifanyi kazi na imevimba...inayofanya kazi ni ya Mbele tu.Mbwa ili wawe wakali fuga zaidi YA mmoja ILO ndilo suluhisho la mbwa wasio wakali... Mimi ninao watatu mmoja ni 8yrs, 4yrs na mwingine ni 4 monthly.... Huyu mkubwa abweki ovyo ni mzeee wa silent killer na akibweka sauti yake mzito na kuna jambo hapo... Huyu wa kati yeye ni kelele mingi akisikia geti limeguswa mtu kasema hodi yeye ni kubweka ni mkorofi by nature huyu hata akiona kunguru katua juu YA banda ni kubweka tu.... Huyu mdogo ni mzeee wa mishe mishe Usiku alali yeye ni kuzunguka akiona paka anabweka, upepo ukitingisha mauwa ni kubweka, mkisahau nguo viatu vya mgeni asubuhi mnakuta matambara... Ukali wa mbwa Mara nyingi ni nature wazazi wake na kujiamini kwa mbwa mwenyewe. Mm huyu mbwa wangu mkubw atishiki ukiinama uokote jiwe akimbii muda Wote mkia upo juuu ajui kufyta Sasa hole wako ukimbie.... Unapotaka kufuga mbwa usinunue mbw ni mbw uliza historia YA wazaz kama walikuw wakali wasikivu, awanyi kweny banda hovyo hovyo.Kuna mbwa wanatabia YA kulia wakiw Kwenye banda Mara nying hawa uwa mbwa Koko awa ndio inabidi muwaboost na bangi
kumbe wanunuzi wa mimea mpo wengi humuYeah in kweli mkuu hawa wa kwangu niliwapa mmea mixer ugoro wamekuwa shida mtaani ila nilitaka mbinu nyingine sababu zoezi la kuwavutisha linahitaji uwe mvutaji pia.
KokoNa mbwa tunaowaona sana mtaani je wanaitwaje??
Hahaaaaaaaaaa aiseee hii imenifanya nicheke mnoMbwa mvivu balaa, mpaka akisikia mbwa wa jirani anabweka, yeye anaitikia 'Me Too"
Ulitaka ajisaidie wap wakat umemfungia zaid ya masaa 12Mimi Mbwa wangu ni wakali ila wanajisaidia bandani kwa kweli wananikera sana, maana kila saa nne usiku nawafungulia mpk saa 12 ahsubuhi lakini bado wanajisaidia bandani na ni wakubwa sijui wataalamu mnashauri vp hapo ?
Haha...kweli aisee..hao wote naona ni species za nje..hawa wa uswahili hawa hawana majina??Na mbwa tunaowaona sana mtaani je wanaitwaje??
Mkuu ihii tabia wewe ndio umeilea mwenyewe mbwa siku zote anafundishwa na ataelewa tuuuuu..... Sasa fanya hivi wakinya usifagie yatawanye mavi ndani YA banda akose pa kulala mfanyie kwa muda wa Wiki moja atakereka akikosa pa kulala, elewa mbwa apendi kulala sehemu chafu.... Baada YA Wiki safisha banda kwa maji Alafu anzisha kichapo unapowafungua ukikuta wamekunya mnusishe pale alipokunya uku unamchapa na kumsemesha asinye Kwenye banda. Endelea kufanya hivi Kila wanyapo Kwenye banda hadi watakapo Acha.... Elewa mbwa ni mnyama anaefundishika kwa urahisiMimi Mbwa wangu ni wakali ila wanajisaidia bandani kwa kweli wananikera sana, maana kila saa nne usiku nawafungulia mpk saa 12 ahsubuhi lakini bado wanajisaidia bandani na ni wakubwa sijui wataalamu mnashauri vp hapo ?
Huyo mtafute dakitari wa mbwa amekosa vitamini bila Shaka bado ni mdogo kiumri.. Kuna chanjo YA pavo uenda ikawa aujampatia.... Kiujumla mbwa inatakiwa hapate chanjo Kila baada YA miezi 3 minyoo na vitaminiMkuu Mbwa wangu kaishiwa nguvu na baada ya siku km 3 hvi alikuwa hali...nikaanza kumpa uji akawa anakunywa kabisa...SASa nimekuja gudua miguu ya nyuma haifanyi kazi na imevimba...inayofanya kazi ni ya Mbele tu.
Na sasa anakunywa uji bila shida ila pia upumuaji wake siyo wa kawaida..
Tatizo litakuwa ni nn kwa uzoefu wako??
Ni aina ya Golden retriever.
tangu lini mtu anayevuta bange akawa sawasawa,hapo kuna siku atakuvamia mpaka weweSalaam wakuu, kwanza niwatakie mapumziko mema ya sikukuu ya Maulid.
Kama title inavyojieleza nataka tushare na wewe mbinu mbalimbali za kumfanya mbwa wako kuwa mkali zaidi na kuogofya wezi na vibaka mtaani pengine hata wageni wakifika getini waulize "mbwa mmemfunga?[emoji28] [emoji28]
Kwa kuanzia binafsi nimetumia mbinu tofauti tofauti hasa kwa mbwa wa kienyeji kama ifuatavyo:
1.Kumvutisha msheshe aka ganja na hapa unamwekea pia kwenye msosi.
2.Kumwekea nyigu kwenye banda wanamuuma kwa muda mrefu akitoka halo ni shida.
Kwa wafugaji wa mbwa nawe share hapa unafanya nini mbwa wako kuwa mkali zaidi ili kubadilishana uzoefu.
Aksante
Sio kila mbwa ni mkali... Yani umeokota mbwa njian unatarajia awe mkali?? Sio tu unafuga mbwa kwa ili uonekane umefuga...
Google hawa wanyama...
1. German shefield..huyu ni common sana na hata wanajeshi wanawatumia, pia ni rahisi kuwafindisha.
View attachment 642311
View attachment 642308 View attachment 642309 View attachment 642310
![]()
2. Rottweiler. Hawa ni balaa tupu... Ukijichanganya kwenye anga zao wanaweza kukusambaratisha hata wewe mmiliki!!
View attachment 642317 View attachment 642318
3. Bull dog. Huyu nae ni balaa ingine, ana uwezo wa kuvuta hata gari dogo mwenyewe, ni mbwa mwenye nguvu sana!!
View attachment 642324 View attachment 642323 View attachment 642322
Rottweiler na pitbull hawapendi kuchanganywa na species nyingine, na ukijaribu kuwamix na mbwa wengine jua dhoruba itayotokea hapo wenda hata wewe utakimbia kwa uoga!!