Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mbwa tunaowaona sana mtaani je wanaitwaje??Sio kila mbwa ni mkali... Yani umeokota mbwa njian unatarajia awe mkali??
Google hawa wanyama...
1. German shefield..huyu ni common sana na hata majeshi wanawatumia, pia ni rahisi kuwafindisha.
2. Rottweiler. Hawa ni balaa tupu... Ukijichanganya kwenye anga zao wanakusambaratisha!!
3. Bull dog. Huyu nae ni balaa ingine, ana uwezo wa kuvuta hata gari dogo mwenyewe, ni mbwa mwenye nguvu sana!!
Rottweiler na pitbull hawapendi kuchanganywa na species nyingine, na ukijaribu kuwamix na mbwa wengine jua dhoruba itayotokea hapo wenda hata wewe utakimbia kwa uoga!!
koko[emoji1] [emoji1]Na mbwa tunaowaona sana mtaani je wanaitwaje??
Wengi sana ni ridgebackNa mbwa tunaowaona sana mtaani je wanaitwaje??
Atajisaidia usiku utakapo mfungulia.mbwa hawez jisaidia bandan kwake.ukimtoa atatafuta sehemu yake anapojisaidia afukue atupe mzigoAnajisaidia wapi haja kubwa na saa ngapi
Afukue kwani amekuwa paka? Nnavyojua kufukua ni tabia ya paka labda kama utamfundishaAtajisaidia usiku utakapo mfungulia.mbwa hawez jisaidia bandan kwake.ukimtoa atatafuta sehemu yake anapojisaidia afukue atupe mzigo
Nawashangaa sana wanaosema au wanaowapa mbwa bangi! Hapo unawapa ukichaa! Kikubwa ni mafundisho, na awe na akili yake asili, si ya kuharibiwa na bangi!Angalizo usimpe bange anakua zezeta.ukal wa mbwa pia inategemea na aina ya mbwa.sio kila mbwa ni mkali
Unaanza kumfundisha tangu Mdogo.mimi wangu namtumaga mpaka dukani vitu vidogo ambavyo najua analeta .namfungia namuekea kikaratas tu cha maelezo anafungiwa Mzigo hahah.nilimtoa moshi ccpAfukue kwani amekuwa paka? Nnavyojua kufukua ni tabia ya paka labda kama utamfundisha
Yeah in kweli mkuu hawa wa kwangu niliwapa mmea mixer ugoro wamekuwa shida mtaani ila nilitaka mbinu nyingine sababu zoezi la kuwavutisha linahitaji uwe mvutaji pia.
Nawashangaa sana wanaosema au wanaowapa mbwa bangi! Hapo unawapa ukichaa! Kikubwa ni mafundisho, na awe na akili yake asili, si ya kuharibiwa na bangi!
Ukiwa na Pitbul halafu umpe bangi, si balaa hiyo!
mbwa hafukuagi bana, huyo ni pakaAtajisaidia usiku utakapo mfungulia.mbwa hawez jisaidia bandan kwake.ukimtoa atatafuta sehemu yake anapojisaidia afukue atupe mzigo
Hata sijui kwa kweli...Na mbwa tunaowaona sana mtaani je wanaitwaje??