Koffi Annan
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 1,771
- 5,087
Natafuta hela ili ukifika nyumbani ule,ulale bila shida yoyote.Binafsi nimeamua kuzunguka mikoa kadhaa apa nchini kujua maeneo na fursa zilizopo, nimetembea wilaya za mwanza, now nipo shinyanga, nikitoka ntaenda kahama mdogo mdogo mpaka nifike nyumbani.
We unafanya nini
Let share.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku kwetu hakuna mchele madukaniNatafuta hela ili ukifika nyumbani ule,ulale bila shida yoyote.
Hii inahusiana nini na post yangu au mada iliopo?Huku kwetu hakuna mchele madukani
Binafsi nimeamua kuzunguka mikoa kadhaa apa nchini kujua maeneo na fursa zilizopo, nimetembea wilaya za mwanza, now nipo shinyanga, nikitoka ntaenda kahama mdogo mdogo mpaka nifike nyumbani.
We unafanya nini
Let share.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ambacho nimekigundua kama utakuwa unakorona utaisambaza maeneo mbalimbali kisha utarudi nyumbani ukisubiri tukuandikie P.I.RBinafsi nimeamua kuzunguka mikoa kadhaa apa nchini kujua maeneo na fursa zilizopo, nimetembea wilaya za mwanza, now nipo shinyanga, nikitoka ntaenda kahama mdogo mdogo mpaka nifike nyumbani.
We unafanya nini
Let share.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mzee wanguNatafuta hela ili ukifika nyumbani ule,ulale bila shida yoyote.
Yes ni akiba niliwekaNi muda wako dogo we kula pesa ya mzazi
And vice versa is trueAmbacho nimekigundua kama utakuwa unakorona utaisambaza maeneo mbalimbali kisha utarudi nyumbani ukisubiri tukuandikie P.I.R
Binafsi nimeamua kuzunguka mikoa kadhaa apa nchini kujua maeneo na fursa zilizopo, nimetembea wilaya za mwanza, now nipo shinyanga, nikitoka ntaenda kahama mdogo mdogo mpaka nifike nyumbani.
We unafanya nini
Let share.
Sent using Jamii Forums mobile app
Itabidi nije mkuu nipo majengo wananambia free park sio mbaliHahahaa mkuu kama uko shinyanga pita pande za free park tuchome nyama hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo zangu Bomba Mbili nimetulia sehemu mvua ipungue niende Msamala.
Hulu habari za Corona watu wanapiga story Kama wanasimuliana movie.
Natafuta hela ili ukifika nyumbani ule,ulale bila shida yoyote.
Hiyo siyo karantini ni honeymoon jombaaNipo karantini na mtoto mzuri french- canadian hapa hii ni baada ya kupima na kukutwa navyo juma moja lilopita
Wasalimie nyumbani dogo ukifika
Sent using Jamii Forums mobile app