Koffi Annan
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 1,771
- 5,087
Binafsi nimeamua kuzunguka mikoa kadhaa apa nchini kujua maeneo na fursa zilizopo, nimetembea wilaya za mwanza, now nipo shinyanga, nikitoka ntaenda kahama mdogo mdogo mpaka nifike nyumbani.
We unafanya nini
Let share.
Sent using Jamii Forums mobile app
We unafanya nini
Let share.
Sent using Jamii Forums mobile app