Unafanya nini siku 30 za majaliwa.

Unafanya nini siku 30 za majaliwa.

Koffi Annan

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2018
Posts
1,771
Reaction score
5,087
Binafsi nimeamua kuzunguka mikoa kadhaa apa nchini kujua maeneo na fursa zilizopo, nimetembea wilaya za mwanza, now nipo shinyanga, nikitoka ntaenda kahama mdogo mdogo mpaka nifike nyumbani.
We unafanya nini
Let share.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natafuta hela ili ukifika nyumbani ule,ulale bila shida yoyote.
 
Ambacho nimekigundua kama utakuwa unakorona utaisambaza maeneo mbalimbali kisha utarudi nyumbani ukisubiri tukuandikie P.I.R
 
Hahahaa mkuu kama uko shinyanga pita pande za free park tuchome nyama hapa
Binafsi nimeamua kuzunguka mikoa kadhaa apa nchini kujua maeneo na fursa zilizopo, nimetembea wilaya za mwanza, now nipo shinyanga, nikitoka ntaenda kahama mdogo mdogo mpaka nifike nyumbani.
We unafanya nini
Let share.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natafuta hela ili ukifika nyumbani ule,ulale bila shida yoyote.

Baba Batalingaya, shkamoooo....

Jana nilinunua mapeasi yale ya Lushoto (sio ya kizungu) nikakukumbuka....

Babu mabungo alikuwa anauza matunda kila msimu unapoingia.... Mabungo, mapeasi, maepo, maembe ng'ong'o, embe Tanga n.k.

Kasinde.
 
Dah...nawaza tu siku watakaposema tusitoke nje....sijui itakuwaje kwa huyu jirani....dah [emoji2960]

Sent using Beretta ARX 160
 
Back
Top Bottom