Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kubwa ila kwenye earphoneMusic kwa sauti kubwa au ya kawaida?
Nimeipenda hii mbali na kupunguza hasiri unsongeza kitu kwa kichwa.Binafsi nikipatwa na hali kama hiyo huwa najitenga nasikiliza music kweny cm nikiwa kweny utulivu. Au nakaaga na wale watu waliotengwa na jamii na kuwaona si chochote kama Mateja au wale waokota makopo napiga nao stori sana, Nawanunulia Fegi wanani naanza kuwachimba sana kwa mambo mengii. Nikitoka hapo akili inakuwa sawa
I'll ukojoe sanakunywa maji mengi