Unafanyaga nini kupunguza hasira zako?

Unafanyaga nini kupunguza hasira zako?

Nanunua rubesa mbili za gomba na veveka na hasira inapotea na handas inatawala
 
Najifungia chumbani nalia uku naskiliza music mpaka hasira zinaisha
 
Nafanya mapenz😒 tena hasira ikizidi naziba macho naenda buza kwa mpalangee😔 nikitoka hapo mwepesi na hasira sina😎
 
Nina siku nimekasirika seriously, ila huko nyuma ilikuwa namalizia kwenye sex, japo baada ya ilikuwa inaongeza hasira zaidi nikapambana kubadilika nikawa natafuta penye upepo km ufukweni ama vilimani najisikia ahueni sana na mwenye amani
 
Kwa nini sasa ilikuwa inaongeza hasira badala ya kupata ahueni?
 
Natafuta mahala palipo na ukijani mwingi(miti au bustani yenye kupendeza).
Njia nzuri hiyo mimi apo kabla nilikuwa naenda sehemu yenye reli nategeshea treni ikiwa inapita naongea makwazo yangu yote adi hasira zinaisha.
 
Blunt ndio nn??
Turahisishe jibu.
IMG-20190320-WA0131.jpg
 
Kwa nini sasa ilikuwa inaongeza hasira badala ya kupata ahueni?
Hakuna kitu kinaniuma ktk mwili km k yangu, napenda kuliwa ila naona km inafaidiwa sana, Sasa ilikuwa hasira zikipanda maana yake mzengeaji aliye karibu anaokota dodo maniner
 
Hakuna kitu kinaniuma ktk mwili km k yangu, napenda kuliwa ila naona km inafaidiwa sana, Sasa ilikuwa hasira zikipanda maana yake mzengeaji aliye karibu anaokota dodo maniner
We kiboko.
 
Back
Top Bottom