Unafanyaga nini kupunguza hasira zako?

This works aisee
 
Hakuna kitu kinaniuma ktk mwili km k yangu, napenda kuliwa ila naona km inafaidiwa sana, Sasa ilikuwa hasira zikipanda maana yake mzengeaji aliye karibu anaokota dodo maniner
Ndio inatokea ile kimasihara, Better ulikimbia iyo
 
Mkuu tunafanana kama nipo pahala huwa natembea umbali mrefu sana.
Kuna kipindi nilikutana na kundi la watoto huko njiani aisee nilicheka sana na nikajifunza kitu kikubwa sana.
Imekuwa desturi sasa tena kubwa sana..Music plus walking..
 
Kwasababu naionea wivu k yangu[emoji23][emoji23] hamna cha utamu ni km ukichapwa fimbo zile za kishule shule vile inafeel ndivyo mi nafeel nahisi inaonewa
Na ukute mabazazi wanapaka mkongo, apo lazima uionee huruma aysee.
 
Ndio inatokea ile kimasihara, Better ulikimbia iyo
Siitaki hiyo na imepita haitorudi tena,now days najiepusha kupatwa hasira ovyo ovyo na ikitokea natafuta kupunga upepo,, maisha yanakuwa mazuri na mepesi
 
Siitaki hiyo na imepita haitorudi tena,now days najiepusha kupatwa hasira ovyo ovyo na ikitokea natafuta kupunga upepo,, maisha yanakuwa mazuri na mepesi
Kama uko mkoa wenye baharia unaweza.kutembelea uko unasimama ule upepo na mawimbi unaweza piga kelele unavyotaka na kutoa hasira zote

Mara nyingine hasira zinatusababishia kufanya vitu vya ajabu sana.
 
Muhinu
Kama uko mkoa wenye baharia unaweza.kutembelea uko unasimama ule upepo na mawimbi unaweza piga kelele unavyotaka na kutoa hasira zote

Mara nyingine hasira zinatusababishia kufanya vitu vya ajabu sana.
Muhimu Ni kujua kutawala mihemko yako tu,
 
Binafsi Kama sina hela nasubirigi tu ziishe ila nikiwa na hela nanunua msosi mzuri nakula nashiba( ile shibe hadi ya kulala).
Mimi nikitawadha na kuchukua udhu na kusali, hata ikiwa ninahasira ya kuuwa mtu huwa inashuka na ninapoa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…