Unafanyaga nini kupunguza hasira zako?

Asa si mpaka unipe hizo hasira nikere nikukere hapo hapo kwanini tunyimane amani aise kama sio size yangu ukinikera jua kuna mwana pembeni hasira zitaishia kwake ila siyo kwa mpenzi wangu.
 
Natafuta mtu wangu wa karibu tunabadilishana mawazo. Naomba nami nimuulize mtoa uzi, ni wakati gani mtu anakuwa na raha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…