Unafanyaje inapotokea umemchoka mpenzi wako ila yeye bado anakupenda sana?

Unafanyaje inapotokea umemchoka mpenzi wako ila yeye bado anakupenda sana?

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,087
Reaction score
16,036
Una mtu wako hujamuoa ila mpo mna muda mrefu ila umemchoka kabisaa

Ila anakupenda sanaa kias kwamba umejarib jaribio la kwanza la kumuacha imeshindikana yaan. Amekua hadi depressed kabisa .kula hali..hadi anaumwa..ndugu na rafik wanakupigia simu kila mara. Hivi unafanyaje hali hii inapotokea na unakuta wew ndo umeshamchoka kabisaa yaani binti analia muda wote.

Inafikia hatua unamuonea huruma ile ya kwel lakin ndo hvo ushamchoka. Unamfanyaje mtu huyu maana anadirik kusema bas uumpe hata mtoto halaf umwache..angalau apate zawad ya mtoto huyo. Aisee sasaa kwel nmeaamin kuna watu wanafunga ndoa kwa huruma tuu.

N.B

Ndugu yangu hapa anaomba ushauri

Najua mapema sanaa..hili wingu leo mapema sana natoroka

1643005274101.png
 
Sababu za msingi za kumchoka ni zipi?

Unafikiri Kuna utakayekuwa naye usimchoke?

Kwanini uliamua kuanzisha naye mahusiano?

Je ulijua kama utakuja kumchoka?

Mkiachana wewe unaenda wapi? Vipi uendako na wewe wakaluchoka?
Huyu bint nilikutana nae kwenye party..tuka click tuu..sikutongoza wala kufanya chochote...tukawa friends then tukaanza mahusiano..inaenda 3-4 yrs nw...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie ukweli kwamba umemchoka ajue kabs! Sio kumpotezea muda mtoto wa watu.!
Keshaambiwa hayo yote...anasema sijamchoka ni vile tu upepo ni mbaya...imagine anajibu hvyo mkuu..namuonea huruma kinoma..sjui namfanyaje huyu....hiv huyu ukimuacha si ndo mambo ya karma ama?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatzo nina huruma

Sent using Jamii Forums mobile app
Usioe kwa kumuonea huruma. Tunaoa kwasababu moyo na nafsi na akili na mwili vinakubali vyote kwa pamoja kwamba huyu nikimuoa nitaishi naye ( milele ) na si vinginevyo.

Kumbuka huyo ndiye atakuwa mkeo, atazaa watoto , mtatengeneza familia kwa pamoja.

Ukioa kwa kumuonea huruma ipo siku huruma yako kwake itakoma na utajuta. Lakini ukioa kwa kumkubali jinsi alivyo utaishi naye milele
 
Hivi huyu ukimuacha si ndo mambo ya karma ama? HUTOKWEPA HILI hasa ikiwa ulimdanganya na kumuaminisha miaka yote hiyo kuwa yeye ni wako
 
Sababu za msingi za kumchoka ni zipi?

Unafikiri Kuna utakayekuwa naye usimchoke?

Kwanini uliamua kuanzisha naye mahusiano?

Je ulijua kama utakuja kumchoka?

Mkiachana wewe unaenda wapi? Vipi uendako na wewe wakaluchoka?
1.Sabab za msingi ni kwamba kwanza she became fat..sipend fat pipo

I meet new pipo ambao ni hotter zaid yake
(Am being honest)
And vingne siwez sema hapa
2.hilo la kuwa na mwingne nisimchoke nadhan haliwezekan
3.sikuamua..tuliclick tu..sjawai mtamkia wala kuweka commitment yoyote nayeye
Tuna 3-4 yrs..well..alikua kama dem wa mpito tu..sikutegemea ntakaa nae muda mref..it was afta a break up na mtu wangu wa mda mref
4.nilijua ntakuja mwacha
5.nikiachana nae siend kokote nataka nifocus na mambo mengne..well na plan kutafta mwingne...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usioe kwa kumuonea huruma. Tunaoa kwasababu moyo na nafsi na akili na mwili vinakubali vyote kwa pamoja kwamba huyu nikimuoa nitaishi naye ( milele ) na si vinginevyo.

Kumbuka huyo ndiye atakuwa mkeo, atazaa watoto , mtatengeneza familia kwa pamoja.

Ukioa kwa kumuonea huruma ipo siku huruma yako kwake itakoma na utajuta. Lakini ukioa kwa kumkubali jinsi alivyo utaishi naye milele
Kabisa mkuu...umeongea ukwel mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom