Unafanyaje inapotokea umemchoka mpenzi wako ila yeye bado anakupenda sana?

Unafanyaje inapotokea umemchoka mpenzi wako ila yeye bado anakupenda sana?

Mwanzo mwa mahusiano kila mtu huwa huyo hot ila kadri mda unavyozid kwenda ndio utagundua ukwel wa mtu.

Unaposema ukiachana nae uendi popo unataka kufocus kwenye mambi yako unamaanisha nini? Kwan yeye ni kikwazo kinachokuzuia kusifocus kwenye mambo yako?
Nina kikwazo sabab ananipa mawazo ya how am i goin to live..continue being with her wakat najua kabisa nimemchoka ila namuonea huruma tuu.na siwez kumuoa..that kills me inside..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu za kumuacha ni zipi?

Unaingiaje kwenye mahusiano kila siku ukiwa una mtu. Inaonesha unatamaa ya kila mwanamke, basi yafaa usitumie udhaifu wa mwanamke kupenda kuwapata. Ni vyema uweke wazi”mimi sitaki mahusiano nataka hang outs, kunyanduana na wewe”
Ni kwel mkuu..nahis nibora kumwambia mtu..am here to hangout

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimependa hii...nahis niwe nae tu na niwe na mwingne...unajua ndomana wenzetu muslim wanaruhusu wake wa4..hata mim naafiki hili

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo hivyo mapenzi yanaumiza alafu unavyosema unamuacha kwa sababu ya unene unakosea mno what if ukaoa mwanamke slim chuchu saa sita akaja akajifungua mtoto wa kwanza maziwa yakalala tumbo likatoka njee michilizi kibao nae utamuacha???ww bado kijana mdogo mahusiano yanahitaji uvumilivu mkubwa mna kama umepata mwanamke anakupenda kwa dhati anakuheshimu anakusikiliza muoe kuwa nae tu atuoi kwa sababu ya uzuri wa umbo au sura ya mwanamke tunaoa tabia

NB:Wenda uyo ndo mke wako uyo ndo ataki kukuacha komaa nae.
 
Una mtu wako hujamuoa ila mpo mna muda mrefu ila umemchoka kabisaa

Ila anakupenda sanaa kias kwamba umejarib jaribio la kwanza la kumuacha imeshindikana yaan. Amekua hadi depressed kabisa .kula hali..hadi anaumwa..ndugu na rafik wanakupigia simu kila mara. Hivi unafanyaje hali hii inapotokea na unakuta wew ndo umeshamchoka kabisaa yaan...binti analia muda wote...

Inafikia hatua unamuonea huruma ile ya kwel lakin ndo hvo ushamchoka. Unamfanyaje mtu huyu....maana anadirik kusema bas uumpe hata mtoto halaf umwache..angalau apate zawad ya mtoto huyo. Aisee sasaa kwel nmeaamin kuna watu wanafunga ndoa kwa huruma tuu.

N.b

Ndugu yangu hapa anaomba ushauri

Najua mapema sanaa..hili wingu leo mapema sana natoroka
Tengeneza tukio akufumanie red handed
 
Nina kikwazo sabab ananipa mawazo ya how am i goin to live..continue being with her wakat najua kabisa nimemchoka ila namuonea huruma tuu.na siwez kumuoa..that kills me inside..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo siku utakuja humu kuomba ushauri wa jins ya kumrudisha kwenye imaya yako. Mahusiano ni zaod ya hvyo unavyo fikria
 
Una mtu wako hujamuoa ila mpo mna muda mrefu ila umemchoka kabisaa

Ila anakupenda sanaa kias kwamba umejarib jaribio la kwanza la kumuacha imeshindikana yaan. Amekua hadi depressed kabisa .kula hali..hadi anaumwa..ndugu na rafik wanakupigia simu kila mara. Hivi unafanyaje hali hii inapotokea na unakuta wew ndo umeshamchoka kabisaa yaan...binti analia muda wote...

Inafikia hatua unamuonea huruma ile ya kwel lakin ndo hvo ushamchoka. Unamfanyaje mtu huyu....maana anadirik kusema bas uumpe hata mtoto halaf umwache..angalau apate zawad ya mtoto huyo. Aisee sasaa kwel nmeaamin kuna watu wanafunga ndoa kwa huruma tuu.

N.b

Ndugu yangu hapa anaomba ushauri

Najua mapema sanaa..hili wingu leo mapema sana natoroka
Unamwambia ajirekebishe maeneo yanayokufanya umchoke

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
1.Sabab za msingi ni kwamba kwanza she became fat..sipend fat pipo

I meet new pipo ambao ni hotter zaid yake
(Am being honest)
And vingne siwez sema hapa
2.hilo la kuwa na mwingne nisimchoke nadhan haliwezekan
3.sikuamua..tuliclick tu..sjawai mtamkia wala kuweka commitment yoyote nayeye
Tuna 3-4 yrs..well..alikua kama dem wa mpito tu..sikutegemea ntakaa nae muda mref..it was afta a break up na mtu wangu wa mda mref
4.nilijua ntakuja mwacha
5.nikiachana nae siend kokote nataka nifocus na mambo mengne..well na plan kutafta mwingne...

Sent using Jamii Forums mobile app
Una utoto mwingi sana kama sababu zenyewe ndiyo hizi,kama ni swala la kuwa fat kwa nini usimwangalie kwanza Mama yako Mzazi alivyo kwa sasa? Unadhani huo ubonge alionao sasa hivi alikuwa nao wakati anakutana na Baba yako? Mwache Binti wa watu ataumia lakini with time ataheal na wewe usubirie Karma yako.
 
Unamuachaje mtu anaekupenda, kakufanyia nini, sababu ya kumuacha hasa ni i!?
Mzee kwenye mapenzi tunatumia akili kuliko hisia, raha ni kupendwa kisha upende, sasa mtu anakupenda unataka kumpoteza!!

Utakuja juta.
 
Usichopenda kutendewa ww usimtendee mwenzio. Ni bora ukamwambia ukweli Ili aweze kufanya mambo yake mengine. Kuliko kuzidi kumpotezea muda alafu mwsho wa siku anashuhudia ukioa mwengine.

Alafu izo sbb zako si za maana sanaaa.. ww inaelekea unapendaga nje na si uzuri wa ndani wa mtu, itakucost Sana maishani maana watu hatubakii kama tulivyo kwa jinsi umri unavyozd kwenda... Ipo siku utaukumbuka huo upendo wa huyo dada.

Kinachoumiza watu si mahusiano Bali ni mazoea. Muache usiangalie nyuma.
 
Huyo mwanamke mpk umekuja kuandika hapa jf ina maana bado yuko kichwani mwako unamuwaza hivyo unataka kumwacha lakn nafsi/moyo wako hauko tayari
Uyo wako jombaaaa we mwenyewe inaelekea sa nyingine unammiss 😀😀😀
Demu ukiamua kupiga chini hilo suala haliitaj mjadala
 
Back
Top Bottom