Unafanyaje inapotokea umemchoka mpenzi wako ila yeye bado anakupenda sana?

1.Sabab za msingi ni kwamba kwanza she became fat..sipend fat pipo

I meet new pipo ambao ni hotter zaid yake
(Am being honest)
And vingne siwez sema hapa
2.hilo la kuwa na mwingne nisimchoke nadhan haliwezekan
3.sikuamua..tuliclick tu..sjawai mtamkia wala kuweka commitment yoyote nayeye
Tuna 3-4 yrs..well..alikua kama dem wa mpito tu..sikutegemea ntakaa nae muda mref..it was afta a break up na mtu wangu wa mda mref
4.nilijua ntakuja mwacha
5.nikiachana nae siend kokote nataka nifocus na mambo mengne..well na plan kutafta mwingne...

Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu zako hazina kichwa wala miguu..!
Binti wa watu atavunjika moyo na ataona wanaume wote ndivyo mlivyo wakati kuna wanaume wazuri, wana tabia nzuri tena za ki uanaume!

Muache mtoto wa watu, umeshamchakaza muda mrefu usiendelee kumtumia wakati huna mipango mema juu yake.
 
Nyuzi kama hizi wanawake wa JF huwa wanatoa mapovu kinoma.
 
Jamaa atatubu alipokosea , na maisha yatarudi back to normal, with happy ending.

Sent using Jamii Forums mobile app
We always confess our sins...
But some consequences still linger in our lives

Mfano umezini ukapata HIV..confession inaondoa ugonjwa?ama una mtt hukutarajia confession itampoteza?
You will be forgiven..ndio principle ya Mungu
But.....the other woman prays too...akimwambia Mungu am not happy with this...4 yrs of my life...what about me?....who knows Mungu atajibuje?.

Anaweza mpa kusamehe na kusahau...or otherwise atakavyoona sawa...to every action.......

Normal?.,Happy endings huh..?.who knows about the future?will it be so?our wishes arent enough
Mungu anamsikia kila mtu...
Unavyopimia wengine nawe utapimiwa..

If he cant be held responsible kwanini anahangaika kumuacha?si amuache tuu km hamna consequences?
It goes both ways to the Man and the Woman...4 yrs in anyones life cant js be thrown away like that...

Ila ndo maisha...
We evolve we grow
Tunapanga ila na Mungu nae anapanga qadr zetu
 
Daaaah umeniogofya, nikipiga hesabu ya raia niliokatisha nao mahusiano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimewasamehe walionitenda, naamini na mimi niliowatenda wata find place in their hearts to forgive me.

Sent using Jamii Forums mobile app
It depends with the damage done na strength ya mtu upande wa pili...

Ndo mana tunaambiwa tafuteni kuwa na amani na watu wote....

Janja janja hizi...ipo day...

I had a man miaka ya nyuma..good intentions and all bado tukaachana basi kinyonge nikakubali japo moyoni i was not happy..nikawa kimya tu maisha yanaendelea
Yule kijana alikua mfanyabiashara sijui nini kilikua kinaendelea upande wake
Ila one day out of the blue alinipigia simu na kuniomba msamaha iwapo nna lolote moyoni mwangu dhidi yake....i did have a grudge...bt my heart melted..and i forgave...simply bcz he asked..and nilipona moyoni abt him...nikakubali yaishe haikuwa rizq yetu...
Still separate ways..but alipitia yapi hadi kudhani maybe he just needs my forgiveness?..

Sm things still linger in our lives...
Na nishawahi muomba msamaha mtu pia...all my rlships after him were not working...

After a while..ndio upepo wa mahusiano on my side ukatulia...

So moral of the story is
Dont take peoples feelings for granted...
 
Daaaaah haya mambo inaonekana ukimchafulia mtu file, lazima file lako nalo lipitiwe na wachafuzi wengine.

BTW are u with someone now ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaaaah haya mambo inaonekana ukimchafulia mtu file, lazima file lako nalo lipitiwe na wachafuzi wengine.

BTW are u with someone now ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo mana watu wanaamini in Karma....

Hata Mungu works like that.....refer 'kisasi ni cha Mungu na atalipa'...
Good intentions good deeds zinasaidia
Even if you lose...atleast u had good intentions/deeds...

Yah niko nabambam with the big boy😅

Mchana mwema jmn
 
Hakuna cha karma wala mjomba wake na Karma

Huwez force kudumu na Mtu...
Lazima ifikie point Watu wakubaliane na Ukweli...

Sisi wanaume huruma yetu hutuponza!
Angekua yeye hapo na dharau juu.
 
Ndo mana watu wanaamini in Karma....

Hata Mungu works like that.....refer 'kisasi ni cha Mungu na atalipa'...
Good intentions good deeds zinasaidia
Even if you lose...atleast u had good intentions/deeds...

Yah niko nabambam with the big boy[emoji28]

Mchana mwema jmn
Ila big boys wanafaidi sana maisha hakiyanani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom