T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Basi yule demu wangu aliyeniuliza nina mpango gani nae naenda kumwambia kuwa SIOI leo wala keshoHivi huyu ukimuacha si ndo mambo ya karma ama? HUTOKWEPA HILI hasa ikiwa ulimdanganya na kumuaminisha miaka yote hiyo kuwa yeye ni wako