Unafanyaje kama mkeo ni mbea kupitiliza?

Soma uzi vizuri, [emoji3]
mke wake ana ujuzi wa umbea, kujikweza ,na kutoa simulizi za siri based on true story za maisha yao ...

Amtaftie kazi mange kimambi app
 
Mkiwa kwenye uchumba wanaficha makucha hata kujamba mbele yako hawezi, mkishaoana unashangaa mmejifunika shuka hadi kichwani mara kajamba halafu anacheka ni watu basi
Uhusiano wa muda mfupi hafi mdoa , ndio inakuwa vigumu kujua tabia za mtu, magokea yake una ingia kwenye ndoa na mtu anayepretend
 
Wangu yeye tukirudi nyumbani jioni kila siku ana habari za watu mpya, sijui huko kazini hua anafanya kazi sangapi? Unaangalia mpira yupo pembeni mara zinaanza story za mama nani kafanya hiki yan mpaka game iishe bahati mbaya umefungwa unakua hoi kweri kweri
 
Unajua kumkalisha mtu mzima na kumuonya mambo ya kitoto hii kitu inahitaji uwe na kipaji maalum [emoji1][emoji1][emoji1]
Ni kama kumuomba unyumba tu.Unambembeleza huku shida ipo kwake
Kuishi na mtu mwenye magego yake yote yahitaji akili za ziada.Laa sivyo unaweza kuonekana una gubu tu.
 
Hello Jf

Natumaini mtasoma na kunipa ushauri kulingana na uzoefu wenu au maarifa kadili ya busara zenu. Nimeoa ninaishi na mke na nina mtoto mmoja!! Kifupi mimi ni mtu busy sana sishindi sana nyumbani na hata nikishinda sijuani sana na majirani
Mkeo lazma awe anashabikia Yanga tu 😅 pole sana mkuu ndio tabia zao hao mashabiki wa utopolo😅!

Kumradhi, hivi wakati mnaanza kuishi pamoja hizo tabia za kwa mchambawima ulikuwa hujaziona au ulikuwa unapotezea tu.
 
hata mimi fresh tu, wanawake mbona tupo wengi....
Sawa Wanawake mko wengi,sema Wanawake wenye akili wako wachache sana,tena hata kwa tochi bado unaweza usiwaone hadi umshirikishe Mungu wako!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…