Kwa mtu ambaye hana familia; kujipikia ni gharama sana, gharama in terms of both monetary and time as well; contract hicho kitengo kwa watu wengine, keep on eating to those areas you eat. Bado hizo bei ulizo zitaja ni rafiki mno kuliko kupika. Unaijua bei ya gas wewe?