orturoo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 2,947
- 4,876
SurpriseAfu wanabweka kweli[emoji3][emoji3][emoji3].
Nakuja[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126].
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SurpriseAfu wanabweka kweli[emoji3][emoji3][emoji3].
Nakuja[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126].
Hahaha soma bibilia tu utaona shetani alivyo mshenzi, au anzisha sala tusali uone,Hebu nipe mwongozo nisome mlango wangapi na mstari wa ngapi ambapo shetani atanipa usingizi haraka.
Nimekumbuka enzi za ujana[emoji3][emoji3]. Ujana maji ya moto.Surprise
Sawa ngoja nisome Zaburi.Hahaha soma bibilia tu utaona shetani alivyo mshenzi, au anzisha sala tusali uone,
Redio hakuna kuzima muda huo mpaka kukuche ndio inazimwa.Asante sana. Ukisinzia unaacha nyimbo bado zinaimba?
Bible.Kitabu gani upo nacho apo Bible, au Qur ani?
Ukisema ujana una range wapi hadi wapi,Nipe stories mbili tatuNimekumbuka enzi za ujana[emoji3][emoji3]. Ujana maji ya moto.
Anzia zaburi 2: 4-23. Ukifika hata 20 hujalala unahitaji maombiBible.
NasubiriSawa ngoja nisome Zaburi.
Enzi za darasa la 7 hadi form 4.Ukisema ujana una range wapi hadi wapi,Nipe stories mbili tatu
Hamna sicheki kiukweli ni ujana tuu,Enzi za darasa la 7 hadi form 4.
Siwezi kusimulia utanicheka tu
Zaburi 2 mwisho ni 12 mbona.Anzia zaburi 2: 4-23. Ukifika hata 20 hujalala unahitaji maombi
Nitakuhadithia siku nyingine.[emoji3][emoji3]Hamna sicheki kiukweli ni ujana tuu,
Ila unamtafuta Mungu kupitia usingizi, i suggest u do it in every night and day , sio mpaka utafute usingizi ndiyo mkimbuke MunguZaburi 2 mwisho ni 12 mbona. View attachment 1487302
Hata mukhtasari basi 👂Nitakuhadithia siku nyingine.[emoji3][emoji3]
Sasa jamani si mmenishauri hivo? Mimi nilikuwa nafuata ushauri tu.Ila unamtafuta Mungu kupitia usingizi, i suggest u do it in every night and day , sio mpaka utafute usingizi ndiyo mkimbuke Mungu
Mapenzi ya enzi hizo yalikuwa ya namna hiyo.Hata mukhtasari basi [emoji101]
OkeySasa jamani si mmenishauri hivo? Mimi nilikuwa nafuata ushauri tu.
Special moments katika maisha,ntakukumbusha kesho ukikosa tena usingiziMapenzi ya enzi hizo yalikuwa ya namna hiyo.
"Toka basi nikuone ndio nakaribia kupita hapa getini kwenu"
Poa.Special moments katika maisha,ntakukumbusha kesho ukikosa tena usingizi