Unafanyaje ukijua bosi wako kazini ni mnafiki dhidi yako?

Kuwa mnyenyekevu tu na kila atakachokufanyia sema asante bosi, mpaka yeye mwenyewe siku atajistukia na kusema huyu mtu namuonyesha roho mbaya ila yeye haoneshi kujali why?
Aah wap dawa ya moto ni moto zama za hewala mkuu zimepitwa na wakat..
 
Umenipa kitu kipya nitafanya research kukipruvu shida walimu wenyewe ni waoga sana yani mwalimu anaanza kumuogopa

mwekitiwa mtaa
Diwani
VEO
WEO
DEo
Reo
DC
Ded
Rac

Nk

Ndio maana Mimi huiita mialimu.
 
Tafuta namna ya kumrudishia yale yoote aliyokufanyia na wewe..kusanya ushahid hlf mtafute mkiwa wawili tu mwambie nimekuita kiungwana hili na hili iww mwisho leo vinginevyo utajutraa...
Yeye anakufanyia gizan we muonyeshe hadharani..hii itakua fundisho hata kwa wengine sasa bweteka uendelee kuteseka utadhani hayo mateso yana mshahara
 
Kuwa mnyenyekevu tu na kila atakachokufanyia sema asante bosi, mpaka yeye mwenyewe siku atajistukia na kusema huyu mtu namuonyesha roho mbaya ila yeye haoneshi kujali why?
Mkuu hii mada ni sahihi kabisa. Lakini hata unjinyenyekeze vipi, they never change! I'm sure kunakuwa na kitu kama "majeshi ya roho waovu"
 
Mahali penu pa kazi hamna kitu inaitwa feedback and complaints mechanism? Mlipoti huko ili kuwe public hearing! Vinginevyo mchane live!
 
Mahali penu pa kazi hamna kitu inaitwa feedback and complaints mechanism? Mlipoti huko ili kuwe public hearing! Vinginevyo mchane live!
Mara nyingi wote hao wanakuwa wamoja! Ukifanya hivyo ndio unazidi kuharibu mambo, watamwambia!
 
Mara nyingi wote hao wanakuwa wamoja! Ukifanya hivyo ndio unazidi kuharibu mambo, watamwambia!
Labda kwa mashirika haya ya Kiswahili, lakini kama ni haya ya wenzetu (international) huwa wako serious sana na hiyo kitu! Tena wanapenda inapigwa whistleblower ya nguvu! Maana hicho anachofanyiwa hakina tofauti na abuse and harassment mahali pa kazi!
 
Ndio, mada hii ni kwa mashirika ya Kiswahili (hasa "su")
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…