Jestina
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 4,828
- 1,712
Kwanza nilishikwa na hacra juu yake, nikajiuliza ana matatizo gani huyu mdada? hakika niliamini kuwa either hana akili timamu au ni limbukeni wa mawazo. Yaani nikawaza miaka mi3 tangu mtengane, mwanaume hana contacts kabisa na wewe pamoja na kuwa na mwanaye unayemhudumia kwa kila kitu, bado anamfikiria na kumuingiza katika kila shauri la maisha yake! Hakika sikumwelewa! hata kama walioana kisheria wakatendeana vya kutendeana, but, mume akaenda kivyake, na mke na mtoto wakakaa kivyake .
Lakini baada ya kutulia nikajiuliza
1. Unafanyaje iwapo umri unakwenda nawe unatamani kuwa na mtoto hata kama situation yako ni complicated?
inabidi usubiri mpaka hapo situation yako itakapochange,hizo tamaa za kuwa na mtoto peke yako ni uselfishness ambao mtoto ndoo ataathirika,kumbuka mtoto anahitaji kulelewa ktk cunducive environmnent na kwa mapenzi ya baba na mama...ukimjali mtoto kwanza,utaweka tamaa zako pembeni mpaka hali itakaporuhusu.hio paragraph ya kwanza sijaelewa nani katendwa tena?