Unafanyaje?

Unafanyaje?

Kwanza nilishikwa na hacra juu yake, nikajiuliza ana matatizo gani huyu mdada? hakika niliamini kuwa either hana akili timamu au ni limbukeni wa mawazo. Yaani nikawaza miaka mi3 tangu mtengane, mwanaume hana contacts kabisa na wewe pamoja na kuwa na mwanaye unayemhudumia kwa kila kitu, bado anamfikiria na kumuingiza katika kila shauri la maisha yake! Hakika sikumwelewa! hata kama walioana kisheria wakatendeana vya kutendeana, but, mume akaenda kivyake, na mke na mtoto wakakaa kivyake .

Lakini baada ya kutulia nikajiuliza
1. Unafanyaje iwapo umri unakwenda nawe unatamani kuwa na mtoto hata kama situation yako ni complicated?

inabidi usubiri mpaka hapo situation yako itakapochange,hizo tamaa za kuwa na mtoto peke yako ni uselfishness ambao mtoto ndoo ataathirika,kumbuka mtoto anahitaji kulelewa ktk cunducive environmnent na kwa mapenzi ya baba na mama...ukimjali mtoto kwanza,utaweka tamaa zako pembeni mpaka hali itakaporuhusu.hio paragraph ya kwanza sijaelewa nani katendwa tena?
 
Wa nje ni wanje tu, na wa ndani ni wandani tu.

Wa nje unajichagulia mwenyewe umpendaye, na wa ndani huna ujanja lazima huyo huyo.

Umesikia au bado, mana wengine mpaa mtumie wireless microphone spekaer ndo wanasikia.

Aksante kwa ufafanuzi. Nisamehe akili yangu nzito. Sasa nimeelewa. So hata wa kuasili atakuwa katika kundi la wa nje si ndio?
 
mimi kwishagonga LIKE kule juu...........kakague...

Asante kamanda,....nahisi DC naye atatupiwa lake la uso sasa hivi, maswali gani hayo mstaafu?
oopppss,... nilisema niendelee kuwa msomaji kwanza mpaka nitapopewa ruhsa na soulmate kutoa mawazo kwa
huyo mdada'ke...
 
hapa ni 'LIKE' tu ..........All the Way..........
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

...Oohhh mungu wangu wee...nini tena soulmate, nini tatizo?
nahisi sihitajiki kuchangia lolote humu :A S-coffee:
...Biggie nigongee like moja hapa na mimi aisee..

................. Kwa nini useme huhitajiki kuchangia mate?
 
MJ1,

Hivi ni lazima kuzaa hata kama huna mwenza??
...Umenikumbusha swali la Bikra Maria baada ya kutokewa na Malaika....Litanitokeaje neno hili na mie sina mume??

Babu DC!!

Aksante Babu nahisi umenielewa nilichokuwa ninakifikiria mimi. Je ni lazima hiyo 'vacuum' ijazwe na wa damu yako?!
 
Kwanza nilishikwa na hacra juu yake, nikajiuliza ana matatizo gani huyu mdada? hakika niliamini kuwa either hana akili timamu au ni limbukeni wa mawazo. Yaani nikawaza miaka mi3 tangu mtengane, mwanaume hana contacts kabisa na wewe pamoja na kuwa na mwanaye unayemhudumia kwa kila kitu, bado anamfikiria na kumuingiza katika kila shauri la maisha yake! Hakika sikumwelewa! hata kama walioana kisheria wakatendeana vya kutendeana, but, mume akaenda kivyake, na mke na mtoto wakakaa kivyake .

Lakini baada ya kutulia nikajiuliza
1. Unafanyaje iwapo umri unakwenda nawe unatamani kuwa na mtoto hata kama situation yako ni complicated?

Kamanda kumbe ile PhD haijaisha??

aisee...:rant:
 
Asante kamanda,....nahisi DC naye atatupiwa lake la uso sasa hivi, maswali gani hayo mstaafu?
oopppss,... nilisema niendelee kuwa msomaji kwanza mpaka nitapopewa ruhsa na soulmate kutoa mawazo kwa
huyo mdada'ke...

Mbona hakuna nilipokuzuia soulmate jamani? Unajua hii imenikumbusha ile thread yako ya Mtoto wa Kike??!
Ni kwa nini inakuwa na ugumu kwa watu kukubali kuwa imeshindikana kufikia malengo walojipangia mpaka wakaamua kuchukua maamuzi ya ajabu?
 
Asante kamanda,....nahisi DC naye atatupiwa lake la uso sasa hivi, maswali gani hayo mstaafu?
oopppss,... nilisema niendelee kuwa msomaji kwanza mpaka nitapopewa ruhsa na soulmate kutoa mawazo kwa
huyo mdada'ke...

Una maana nimeboa kamanda??

Babu DC!!
 
kama ni mimi binafsi sijui ningefanya nini ,huu ni mtihani unahitaji kuwaza kwa makini
 
Aksante Babu nahisi umenielewa nilichokuwa ninakifikiria mimi. Je ni lazima hiyo 'vacuum' ijazwe na wa damu yako?!

Hapo sijakuelewa dada,

Una maana wa hapa duniani au consangunous??

Au umewaza kufanya majaribio na watu wan NASA??

Babu DC
 
inabidi usubiri mpaka hapo situation yako itakapochange,hizo tamaa za kuwa na mtoto peke yako ni uselfishness ambao mtoto ndoo ataathirika,kumbuka mtoto anahitaji kulelewa ktk cunducive environmnent na kwa mapenzi ya baba na mama...ukimjali mtoto kwanza,utaweka tamaa zako pembeni mpaka hali itakaporuhusu.hio paragraph ya kwanza sijaelewa nani katendwa tena?

Aksante sana Jestina.............. hiyo para ya kwanza ilikuwa ni mshangao wangu mie kwa huyu rafiki dada yangu.

Hapo nimekuelewa kwa hiyo asubiri hata kama hakuna mawasiliano na huyo mzazi mwenzie?! (Mie kilichonishangaza hasa ni ule uamuzi wake anaotaka kuufanya wa kumtafuta huyo mbaba ili amtegeshee!
 
Mweleze kuwa hayo mawazo yake ni sawa na kuandaa experiment ya kuonja ladha ya cyanide!!

Anyway....mshauri ausikilize moyo wake...Ila ka uzoefu kangu kanaonesha kuwa wadada wengi wanaona upenyo rahisi ni kuwakimbilia ma-Ex wao!!

Babu DC!!
 
Yaani ijazwe na yule wa kuadopt nawe ukaridhika nafsi.

Sijui dada kwa sababu sijawahi kuishughulisha hii akili yangu ya 1947 na psychology ya adoption....Sijui kama ina tofauti sana na matumizi ya pet animals
 
Kamanda kumbe ile PhD haijaisha??

aisee...:rant:

Lol Kamanda bana, hakuna cha PhD wala Masters hapa. Ni vijiswali tu..........sijui kwa nini ninahisi hii situation hatuifeel kwa degree inayolingana kato ya mwanamke na mwanaume?! Sometimes nahisi kuwa ni suala ambalo haliumizi vichwa wanaume kama vile kwa wanawake!
 
Mweleze kuwa hayo mawazo yake ni sawa na kuandaa experiment ya kuonja ladha ya cyanide!!

Anyway....mshauri ausikilize moyo wake...Ila ka uzoefu kangu kanaonesha kuwa wadada wengi wanaona upenyo rahisi ni kuwakimbilia ma-Ex wao!!

Babu DC!!

Umeona eh! yaani Babu hapo ndipo mshangao wangu ulipotokea!
 
Back
Top Bottom