Haaahaaaa! Mtoto ni mtoto tu! Ila hiyo ya wa nje na ndani wakoje imeeka vizuri. Well, it all depends na mtu anataka nini!
Wewe mbona hufahamiki hivi unaongea kiswahili cha mlimani au bondeni wewe.Aksante kwa ufafanuzi. Nisamehe akili yangu nzito. Sasa nimeelewa. So hata wa kuasili atakuwa katika kundi la wa nje si ndio?
Hah Ndahani huyu Fazaa ameamua kunishughulisha akili yangu hii ya kizee!
Wewe mbona hufahamiki hivi unaongea kiswahili cha mlimani au bondeni wewe.
Kama unataka kupachikwa mimba sema tu usione haya....inawezekana jamaa hana sperm inabidi tumsaidie, wengine stock tunazo zakutosha.
I thought kama mama ameamua kuzaa bila kuwa na yule aliyezaa naye kwanza, basi atachagua mbegu anayoiona ni bora. Ila kama baba hatataka kujihusisha na mtoto hapo itakuwaje? Halafu mtoto wa kwanza utamuelezaje juu ya baba wa mtoto wa pili kama akileta udadisi?
Mbona hakuna nilipokuzuia soulmate jamani? Unajua hii imenikumbusha ile thread yako ya Mtoto wa Kike??!
Ni kwa nini inakuwa na ugumu kwa watu kukubali kuwa imeshindikana kufikia malengo walojipangia mpaka wakaamua kuchukua maamuzi ya ajabu?
Si unajua nataka kukupeleka na wakati, ukibaki kulilia watoto bila action utaishia hivyo hivyo.Hah Ndahani huyu Fazaa ameamua kunishughulisha akili yangu hii ya kizee!
Sasa usipige kelele we omba mungu akusaidie.Samahani.
Si unajua nataka kukupeleka na wakati, ukibaki kulilia watoto bila action utaishia hivyo hivyo.
...nashawishika kujibu kwamba lisilobudi hutendwa soulmate wangu...
ile thread yangu ya mtoto wa kike nilipewa changamoto nyingi sana, na mojawapo lililonigusa sana
was, nitakuwa simtendei haki mtoto wala huyo mama niliyekuwa nimemdhamiria nimzalishe binti...
kwani hiyo itakuwa kukidhi matamanio ya nafsi yangu pekee...kumbuka, nilitaka mtoto pekee, sio whole package.
...kwa mada yako hii, sijaelewa mdada kakusudia kujitegeshea kwa ex-hubby wake apate mimba nyingine,
au umekusudia nini...sijakuelewa....lakini kama lengo ni kuzaa na ex-hubby, ni powa tu...madhali hawajaachana
[wametengana tu]....kwangu mimi nadhani hiyo ina nafuu hata kwa malezi ya mtoto iwapo mama mtu atapatwa na matatizo baada ya kujifungua, nk...
Yaani hapo ndipo ninapoona challenge inayomface mwanamke. Hata kama ataamua kuwa na mtoto wa baba mwingine yaani bado huwa ninaona kuna kaugumu flan ka kuwa na watoto wa baba tofauti. Sometimes huwa ninahisi kuwa ni afadhali kubaki na huyo huyo uliyempata bila kuongeza mwingine lakini pia naona kama unakuwa unajinyima haki yako au sijui ni vile jamii ilivyotuweka? Mwe!
Sijui mnashangaa nini?
Mie namsapoti, amtafute baba watoto amtegeshee.
Ni karaha kila mtoto kuwa na baba ake, afu mtoto mmoja naye mawazo tupu.
I concur with her, best alternative kuliko kuzaa na njemba nyingine.
Do you think hiyo ni challenge ya mwanamke tu au hata na mtoto? Imagine a kid growing up with an idea of having an invisible father...it could be very well kama mtoto hatajari kuwa na baba. What if naye akataka kujua who fathered him or her?
Well, inaelekea the mind is made already...so tunajadiliana matokeo ya maamuzi yaliyokwisha wekwa tayari!
Aksante Soulmate, umenielewa vilivyo. Lengo lake ni mtoto ila kinachonishtusha kwake ni kuwa yeye hana hata mawasiliano na huyo Baba mtoto wake!!! Ila ndo amedetermine kumsaka hadi ampate. Ndo mana nikajiuliza kama ana kichaa ??
Yeah ile thread yako kulikuwa na options nyingi. Ngoja niitafute nimprintie.
...kwa uzoefu wangu, womwen are soo good in this,....kwakuwa mwenyewe anaujua mzunguko wake, njemba anatafutwa siku za peak ovulation,....between day 12th, 13th na 14th....ex-spouse anapewa penzi zito sana...day 16th, 17th na kuendelea unaanza kuhesabu "the number you are calling is not reachable!"...
...hapo ukute mke kapata booster toka kwa Dr Shafiq,....mtoto atatungwa utake usitake
Yaani Kongosho ingekuwa vije kweli ningehisi wewe ni yeye!! hii ndio sababu kubwa alokuwa anaitoa. Ah!