Unafanyaje?

...........Hahahahhah halafu akishapata akitakacho penzi linakufa?! ah mahusiano magumu jamani kwa sie wenye chuki na vinyongo ambao tukishageuza shingo hata smile inakuwa tabu sijui tutaanzaje kuchojoa!! mwe

...LOL...usingekuwa wangu ningekufundisha! ...kama kusindikiza kuku bandani mchana kweupee!
 

Uko sahihi! Na kwa mtazamo wangu, by gones are by gones, mambo ya kuviziana ili kujazana mimba wakati kila kitu hakiko sawa ni kupoteza muda. Wazee wanataka wajukuu na wanajua hutamtoa juu ya miti, then is not their responsibility to know who is fathering the kids. Wao wanatakiwa kupiga makofi tu kila unapowaletea wajukuu.
Halafu uwe unawapa na darasa la globalization...
 
aseeee!...

faaza hapo juu punguza ukali wa maneno aseee!...

mbu ninajaribu kuielewa point yako..lakin nawaza zaidi naona kama kuna mtu atakuwa "mbinafsi na mwenye kujijali sana" iwapo tu mwanaume ambaye huenda kwa huyo dada alikuwa ni "eksi" au wereva akawa tayari ameoa na ana ndoa yake...i mean hata wewe mj1 jaribu kuvaa uhalisia wa mazingira ya mumeo kuzaa nje ya ndoa kwa mara ya pili "at your expense"..sijui lakin...
 

...wanawake wengi mtoto mmoja, hasa akiwa wa kiume anajiona bado hajamaliza...
 

................... Babu DC nafikiri ni ile hali ya ubinadamu jamani au? na jamii pia ilishatuaminisha kuwa ndoa ni watoto ukikosa watasema, ukipata mmoja, watadai hatoshi yaani ndoa yako lakini masharti unapangiwa na wengine ah.
 

...wanawake wengi mtoto mmoja, hasa akiwa wa kiume anajiona bado hajamaliza...

Hahhhhhh Soulmate mie nadhani sijui tuko upande gani......tukiwa na wa kiume tutatamani wa kike bali tukiwa na wa kike tutatamani wa kiume maana wengi tunahisi wanaume wanapenda wa kiume !
 
mnhhh.... i see where this thread is heading,... why did i get married?
 
Reactions: Mbu
...LOL...usingekuwa wangu ningekufundisha! ...kama kusindikiza kuku bandani mchana kweupee!

Hahahahha Soulmate usinbanie bana...............nawezaihitaji for future use kwako ......you never know
 
Reactions: Mbu
Kwanini asitulie alee huyo aliyenae mpaka atakapotokea mtu wa kueleweka?

Angekua hana kabisa ningeelewa mchecheto unapotokea. . . ila kwasababu anae mmoja angetulia nae ampe hayo mapenzi yote anayotamani kumpa mtoto mpya mpaka atakapokua kwenye position ambayo hana haja ya kutafuta mtu wa kuzaa nae, ila anaamua tu iwe lini.
 
mh!mj1 leo umeamkia pande gani mpenzi mi namshauri huyo dada kama anaye mmoja akae nae mambo ya kuchanganya mbegu magumu sana hapana bwana labda aniambie atamvizia baba mtoto amjaze kingine.
 

...Lizzy, assume huyo mdada'ke mwj1 ana 35yrs+....au unataka aje kuzaa mongoloids?
 
Hahahahha Soulmate usinbanie bana...............nawezaihitaji for future use kwako ......you never know
worry you not soulmate...sie twahitaji retreat nyingine na konyagi on rocks tu...lol...
usisome kwa sauti watu wakasikia.
 
Tuko pamoja kabisa Teamo si haki kabisa but hata kwa huyo mume (sijui huko aliko kama ameoa au la) ila kama ameoa huyu dada anachotakiwa ni ku-seek devorce ili naye awe huru ingawa ninachohisi kinachomuumiza ni hayo aloyaandika kongosho!!

Point yangu kubwa niliyokuwa ninamshauri ni kuwa ajikubalishe tu kuwa amejaaliwa mtoto mmoja maishani but akanichallenge na maswali ya kuwa yeye pia ni binadamu anapenda kuwa na maisha ya kawaida!! Alisema ana mahitaji kama mwanamke !!
 

...hahahaha, kamandaaaa....relax bana, vipi snow tayari huko....?

surprisingly it is 14 centigrade, some sun shinning and a good beer watching arsenal being bent!!!
 
Reactions: Mbu

...Lizzy, assume huyo mdada'ke mwj1 ana 35yrs+....au unataka aje kuzaa mongoloids?

to be honest kama ana 35+ awe very careful, na pia acheki kama amekua akitumia contraceptives
 
................... Babu DC nafikiri ni ile hali ya ubinadamu jamani au? na jamii pia ilishatuaminisha kuwa ndoa ni watoto ukikosa watasema, ukipata mmoja, watadai hatoshi yaani ndoa yako lakini masharti unapangiwa na wengine ah.


MJ1,

Hii ni special case...Anayedai wajukuu anataka watoke wapi wakati binti yao ni mtalaka au katengwa?? Sina hakika kama wazee tunasahau kwamba watoto hawanunuliwi kama maji ya Uhai!! Kwa hiyo pressure ya jamii haina nafasi kwa huyu dada!! Labda kama anataka kutekeleza mambo yake kwa mgogo wa jamii!!
 
worry you not soulmate...sie twahitaji retreat nyingine na konyagi on rocks tu...lol...
usisome kwa sauti watu wakasikia.

lol nimesoma kimoyomoyo Soulmate wangu!.
 
surprisingly it is 14 centigrade, some sun shinning and a good beer watching arsenal being bent!!!

hahahaha, hii ndiyo global warming ya Al Gore bana...sie tunaisubiria february snow imagine?
no wonder kulikuwa na mafuriko mto msimbazi!....

anyway,...mwj1 kaleta mambo hapa, tuendelee kuchambua...maana mimi na ex wangu akileta
za kucheka cheka nami "navaa pads," nasema nipo mwezini...mambo ya kupeana majukumu na uzee huu,
kopo la lactogen sijui formula 1 tshs 15,000/= siyawezi...tena hilo kopo mtoto analifuta katika 36hrs pekee,...

...hapo hujalipia 3.5m/= per term school fees kwenye st. academy!...natuendelee kumsoma, japo honestly 100%
kama mwj1 ndiye angekuwa mhusika hapa ningejitolea mhanga aisee...hilo toto litakuwa supa, maana mama mwenyewe mashaallah!
hahah...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…