Unafanyaje?

......Ni kweli Lizzy hata mie nilimwambia atulie but naona amekuwa ameaamua. Mwanaye huyo ana miaka sita anakwenda wa saba sasa na alitengana na mumewe wakati mwanaye huyo akiwa na umri wa miaka minne. She is nearly 40
 
Mj1,

Huo si umri mzuri wa kutafuta watoto katika mazingira yetu ambayo huduma za afya ni duni na zinaendeswa kwa amri ya mtoto wa mkulima!!
 
nearly 40 ....is she serious?hembu mwambie atulie aache ujinga
 
Amtegeshee?? Loh.....badala ya kupata mimba anapata ukimwi, mchezo!!!
 
Hahahahah Mbu sasa unakimbia majukumu sasa hahahhahah nimeccheka hadi nimelia aisee.

Haya hapo kwa muhusika ina maana hata ningekuwa Ex wako usingenivalia hizo pads? hah eti Mashaallah!
 
Reactions: Mbu
Mj1,

Huo si umri mzuri wa kutafuta watoto katika mazingira yetu ambayo huduma za afya ni duni na zinaendeswa kwa amri ya mtoto wa mkulima!!

nearly 40 ....is she serious?hembu mwambie atulie aache ujinga

................. Okay. So awe anajivinjari tu bila kufikiria masuala ya mtoto. Au afunge uzazi kabisa?!
 
mmmhhhhhh!...

kwa hiyo tumeconclude nin sasa?

Teamo, wengi wako upande wa akubali matokeo abakie na mtoto mmoja.
Ingawa mie nilimshauri atafute kwa mwingine but I guess sikuwa nimeiangalia option hii vizuri! watoto wa baba tofauti
 
mmmhhhhhh!...

kwa hiyo tumeconclude nin sasa?

Mwisho wa siku kila mtu anaamua anachotaka, ila tusisahau kila mtoto anamuhitaji baba na mama. Na kama umeamua kuchanganya, especially kwa kina mama kuna challenge sana kulea watoto ambao kila mmoja ana baba yake.
Naamini la msingi kabisa ni kuangalia yaliyopo halafu ukapanga yanayokuja na kupima pros and cons zimekaaje. Period!!!
 
mie na conclude kama anahitaji mtoto mwingine azae tu ,,,ila wa kuzaa nae ni nani? pia awe karibu na madr kama kutakuwa na tatizo lolote la kiafya...

Mbona sijakuapa? tatizo la kiafya tena?
 
best tatizo unaweza usilione leo lakini baada ya miaka michache likakutesa maisha yako yote na kwa umri wa huyo dada anazaa na kijana hajaoa,anavizia mbegu za mume aliyemuacha au ni mume wa mtu?maana hapo kuna mengi na anayethaminishwa mbegu atakubali majukumu au ndo yale yale
 
Hahahahah Mbu sasa unakimbia majukumu sasa hahahhahah nimeccheka hadi nimelia aisee.

Haya hapo kwa muhusika ina maana hata ningekuwa Ex wako usingenivalia hizo pads? hah eti Mashaallah!

...Ahhh, kwa wewe ajali kazini bana...i'll blame mzaramo "konyagi" na mikono yake!
 
Kwanza naanzaje kumtafuta mwanamme ambae I don't even know where the hell is he?? Nimeshindwa kuadopt, nimeshindwa kumpata mtu wa kueleweka nizae nae......basi its better nikajiridhisha kabisa kwa huyo mmoja nilonae.
 
Aksante dia. huyo mume anayeviziwa hapa alikuwa mume wake (au bado ni mumewe ingawa walitengana kwa miaka mitatu iliyopita). HAWANA MAWASILIANO KWA MUDA MREFU. Yaani si yule mume wa kuja kumsalimia mtoto wala nini, hawajapeana talaka. Sasa ninachojiuliza hapa ni anaanzaje kumtafuta na kumwelewesha? Mbu amenipa jibu

...Ahhh, kwa wewe ajali kazini bana...i'll blame mzaramo "konyagi" na mikono yake!
Hahh siwezituma maombi Soulmate? au nitume mzaramo kabisa?
 
Reactions: Mbu
Haaahaaa! Tutailamu konyagi na mikono yake kwa kuleta sokomoko ndani ya mji wa tu! Hii kali, duuh

Umeona eh Ndahani! Yaani Soulmate wangu ananichuuza. Halafu Konyagi ikiisha kichwani, uex na chuki zake unarudi pale pale! Au ndo atasema si umeshapata ulichokuwa unahitaji!!
 
Kipipi mdogo wangu, kua uyaone.
It's so hard kuwa na mtoto mmoja
utachukua any risk kama hata kuna 0.1 % ya kupata mtoto.

So many things, wazazi, mtoto mwenyewe, ndugu, nafsi yako mwenyewe.

Afu hakuna adui mbaya kama nafsi yako mwenyewe. Kama ulipanga maishani kupata watoto 3 afu circumstance zikakufanya upate mmoja, sio rahisi kabisa kulibeba.

Kwanza naanzaje kumtafuta mwanamme ambae I don't even know where the hell is he?? Nimeshindwa kuadopt, nimeshindwa kumpata mtu wa kueleweka nizae nae......basi its better nikajiridhisha kabisa kwa huyo mmoja nilonae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…