ni kweli akuna formula ila bibilia ndio mwongozo wa kila kitu ktk maisha na ndoa
Tatizo la kuvunjika kwa ndoa limekuwa kubwa, sio hapa kwetu tanzania tu, bali pia ulimwenguni kwa ujumla.
Je unafanyeje ili kuidumisha ndoa yako?
Dondosha siri ya mafanikio ya kusimama imara kwa ndoa yako, ili na mwenzako aweze kunufaika na darasa jipya la ndoa.
tena umpate yule wa siku ile mpaka ukaamua kumtolea uvivu
hahaaaaaaaaaaaaaa Bujibuji you are not serious!!! yule alinilizia pacha wangu ujue??
wagombanao ndio wapatanao, inawezekana!!!!
yupi tena uncle pacco?maana wanatolewa uvivu wengi wanaotaka mambo yaende mrama
Ameeeeeen..............................
bujibuji is serious, nikipata kifaa maridadi kama pearl....................... ntabaki na ugomvi gani tena na Mungu????????, halafu umetabiri vizuri, sie tuligombana na tulipatana na tunapatana hadi leo................. hii inadhihirisha jinsi tutakavyo kuwa watu wa mapatano daima kama maombi haya yatakuwa kweli.............. Mungu tusaidie!
...jifunze kufikiri kabla ya kuamua, kisha amua baada ya kufikiri.
...jifunze kudharau na kusamehe.
Jiweke kwenye nafasi yake kabla ya maamuzi magumu.
...Kumbuka; maisha yenyewe mafupi haya, hakuna muda kumpata aliye mkamilifu, hata nawe hujakamilika,
HALELUYA!!! umeamka kumbe loh hupitwi weye???
dah, nilikuwa mbali kidogo na na net, mara nikasikia mvuto wa ajabu kama sumaku hivi, unaniambia ncheli jamvini! kumbe kuna manabii wamefunuliwa na Mungu kuwa pacha wako ndio ubavu wangu for sure!!!!!!!!!
dah, shem hebu fanyafanya basi mipango ikawe sawa................... mi naandaa mahari......................., sijui ni ngo'mbe wangapi kwa mahesabu ya harakaharaka??????????
weeeeeee subiri kwanza...
yule my wife wako vipi mliachana au unataka twinushka wangu ashee mume??? kwetu ni mwiko kabisa!!! mume mmoja mke mmoja!!!
na kwa wale walioa wake wanne wafanye nini ili wadumishe ndoa zao......maana kila kukicha ni kuoneana wivu tuu wao kwa wao...
hilo usijali kabisa shem,.................
mi mbona bado kinda kabisa????????????????? nilikuwa bado naangazaangaza asa ni huu uujiza uliojtokeza ndio nimesitisha jitihada zote na kuamua ku-concentrate kwa pacha wako, i believe i live to be hers............. please facilitate!
mmh twinushka mkali huyo......jitose mwenyewe mi ntaanda harusi siju arusi yenu!!!
mmh twinushka mkali huyo......jitose mwenyewe mi ntaanda harusi siju arusi yenu!!!
Ebo! Hapa nadhani nimeingia kimakosa. Ngoja nisepe!
Chrispin una vituko wewe badala upate semina ya ndoa bure hapa unakimbiaEbo! Hapa nadhani nimeingia kimakosa. Ngoja nisepe!
Chrispin una vituko wewe badala upate semina ya ndoa bure hapa unakimbia
ile alopewaga kabla ya ndoa ilikava silabasi nzima......