Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,626
ni kweli akuna formula ila bibilia ndio mwongozo wa kila kitu ktk maisha na ndoa
Sawa ila bado hiyo haiwahusu watu wote, kwa hiyo huwezi ku-generalize. Kwani watu wasioiishi biblia hawana ndoa? Na hizo ndoa hazidumu?
Maelezo yangu yanajariku kukwepa nadharia na kufikirika ili nijiweke kwenye maisha halisi ya kila siku.