Unafanyeje ili ndoa yako idumu?

Unafanyeje ili ndoa yako idumu?

ni kweli akuna formula ila bibilia ndio mwongozo wa kila kitu ktk maisha na ndoa

Sawa ila bado hiyo haiwahusu watu wote, kwa hiyo huwezi ku-generalize. Kwani watu wasioiishi biblia hawana ndoa? Na hizo ndoa hazidumu?

Maelezo yangu yanajariku kukwepa nadharia na kufikirika ili nijiweke kwenye maisha halisi ya kila siku.
 
Tatizo la kuvunjika kwa ndoa limekuwa kubwa, sio hapa kwetu tanzania tu, bali pia ulimwenguni kwa ujumla.
Je unafanyeje ili kuidumisha ndoa yako?
Dondosha siri ya mafanikio ya kusimama imara kwa ndoa yako, ili na mwenzako aweze kunufaika na darasa jipya la ndoa.

...jifunze kufikiri kabla ya kuamua, kisha amua baada ya kufikiri.

...jifunze kudharau na kusamehe.
Jiweke kwenye nafasi yake kabla ya maamuzi magumu.

...Kumbuka; maisha yenyewe mafupi haya, hakuna muda kumpata aliye mkamilifu, hata nawe hujakamilika,
 
Binadamu pekee hatuwezi. Kwa Mungu yote yanawezekana.

Kila wakati nimehisi, ndoa zingekuwa ni mkataba wa muda fulani hivi, ambao mnaweza kuuongeza.

Vinginevyo ni maisha magumu kuliko tulivyofikiri.
 
tena umpate yule wa siku ile mpaka ukaamua kumtolea uvivu

Ameeeeeen..............................

hahaaaaaaaaaaaaaa Bujibuji you are not serious!!! yule alinilizia pacha wangu ujue??
wagombanao ndio wapatanao, inawezekana!!!!

bujibuji is serious, nikipata kifaa maridadi kama pearl....................... ntabaki na ugomvi gani tena na Mungu????????, halafu umetabiri vizuri, sie tuligombana na tulipatana na tunapatana hadi leo................. hii inadhihirisha jinsi tutakavyo kuwa watu wa mapatano daima kama maombi haya yatakuwa kweli.............. Mungu tusaidie!

yupi tena uncle pacco?maana wanatolewa uvivu wengi wanaotaka mambo yaende mrama

dear unabii umeishatoka rasmi na watu sasa wamezama kwenye maombi kutuombea, yetu ilikuwa special case............... tunaelekea kuleeeeeeeee............... alikotoka geof hivi punde!!!!!!!!!!! hahahaa.................. Glory to God..............
 
Ameeeeeen..............................

bujibuji is serious, nikipata kifaa maridadi kama pearl....................... ntabaki na ugomvi gani tena na Mungu????????, halafu umetabiri vizuri, sie tuligombana na tulipatana na tunapatana hadi leo................. hii inadhihirisha jinsi tutakavyo kuwa watu wa mapatano daima kama maombi haya yatakuwa kweli.............. Mungu tusaidie!

HALELUYA!!! umeamka kumbe loh hupitwi weye???
 
...jifunze kufikiri kabla ya kuamua, kisha amua baada ya kufikiri.

...jifunze kudharau na kusamehe.
Jiweke kwenye nafasi yake kabla ya maamuzi magumu.

...Kumbuka; maisha yenyewe mafupi haya, hakuna muda kumpata aliye mkamilifu, hata nawe hujakamilika,

well said Mbu!!!
ntaitumia hii muda wangu ukiwadia.....
 
HALELUYA!!! umeamka kumbe loh hupitwi weye???

dah, nilikuwa mbali kidogo na na net, mara nikasikia mvuto wa ajabu kama sumaku hivi, unaniambia ncheli jamvini! kumbe kuna manabii wamefunuliwa na Mungu kuwa pacha wako ndio ubavu wangu for sure!!!!!!!!!

dah, shem hebu fanyafanya basi mipango ikawe sawa................... mi naandaa mahari......................., sijui ni ngo'mbe wangapi kwa mahesabu ya harakaharaka??????????
 
weeeeeee subiri kwanza...
yule my wife wako vipi mliachana au unataka twinushka wangu ashee mume??? kwetu ni mwiko kabisa!!! mume mmoja mke mmoja!!!
 
Kama mume najitahidi kumsikiliza mwenzangu hata pale ambapo naaamini aniambiacho hakina tija; but I'm there to listen!
 
weeeeeee subiri kwanza...
yule my wife wako vipi mliachana au unataka twinushka wangu ashee mume??? kwetu ni mwiko kabisa!!! mume mmoja mke mmoja!!!

hilo usijali kabisa shem,.................

mi mbona bado kinda kabisa????????????????? nilikuwa bado naangazaangaza asa ni huu uujiza uliojtokeza ndio nimesitisha jitihada zote na kuamua ku-concentrate kwa pacha wako, i believe i live to be hers............. please facilitate!
 
Hapa siri ni kujishusha tuu,yaani unapoona kuna kutokuelewana basi wewe unatakiwa kujishusha,lakini kila mmoja akiwa juu hapo lazim kutokee mpasuko!!
 
hilo usijali kabisa shem,.................

mi mbona bado kinda kabisa????????????????? nilikuwa bado naangazaangaza asa ni huu uujiza uliojtokeza ndio nimesitisha jitihada zote na kuamua ku-concentrate kwa pacha wako, i believe i live to be hers............. please facilitate!

mmh twinushka mkali huyo......jitose mwenyewe mi ntaanda harusi siju arusi yenu!!!
 
mmh twinushka mkali huyo......jitose mwenyewe mi ntaanda harusi siju arusi yenu!!!

sasa we si ndo twin wake unamjulia namna ya kumwingia?????????umesahau juzi hapa jamvini ilikuja thread eti kutongoza ni kugumu??????????? sasa tusaidiane basi shem kumuingi huyo ywin wako, unaweza hata kutumia zile gea za kombolela za utotoni........... au viti??????????//

halafu mwnyewe kakaa kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. amezama kwenye maombi anamuuliza Mungu athibitishe kuwa mie ndio chaguo lake!!!!!!!!.................
 
Back
Top Bottom