mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
Kama mume wako ananuka mdomo, anakuna kama beberu, hasafishi masikio, hatumii hata lotion, pafyum, in short hana mvuto, kiasi cha kukulazimu ukae na watorto wa mjini wanaopaka scrub, etc ni dhahidi mke naye ana tatizo kubwa.Unanuka mdomo, unakuna kama beberu, husafishi maskio, hutumii hata lotion, pafyum, , in short huna mvuto, lazma arke na watorto wa mjini wanaopaka scrub, etc
Huwezi kuwa una akili sawasawa halafu mumeo uliyeapa kuishi naye katika shida na raha akawa kama hivo ulivyoelezea, lazima utakuwa aidha dishi limeyumba au mnara ni wa voda lakini network yako inasoma tigo.
Ndoa sio jambo la mzaha mzaha, unapoamua kuingia katika ndoa hakikisha utoto umeuacha na ujana umeumaliza