Unafanyeje kurejesha mapenzi katika ndoa yako?

We ulilala club kweli?[emoji12]
 
Habari wana JF!

Mwenzenu moyo wangu umekufa ganzi kabisa kwasasa, nifanyeje kurejesha hisia kwa wangu wa maisha? Mume wangu alini-cheat nikamsamehe ame-cheat tena na sasa moyo wangu umechukia kiasi cha kutokuwa na hisia naye tena
Pole

Moyo jiishakufa ganzi hatari sana

Wanaume hawajuagi tu

Hebu concentrate na wanao mwaya....
 
Kwasasa sina hamu wala hisia kwa mwenza wangu tatizo ni ananivuruga na kunichanganya sana. Ananicheat mpaka najua sasa moyo umepondeka sana
Linda sana moyo woko.......

Hawa binadamu ukiwapa moyo ni shida....

Keep yourself busy
 
Umenena kabisaaaa!!!!
 
Hizj mbuzi haziombagi msamaha hizi

Ndio maana bi dada imemuuma
 
Habari wana JF!

Mwenzenu moyo wangu umekufa ganzi kabisa kwasasa, nifanyeje kurejesha hisia kwa wangu wa maisha? Mume wangu alini-cheat nikamsamehe ame-cheat tena na sasa moyo wangu umechukia kiasi cha kutokuwa na hisia naye tena
Kama amekuzingua mara mbili achana nae atakuua bure maradhi mengi. Njoo kwangu.
 
Hizj mbuzi haziombagi msamaha hizi

Ndio maana bi dada imemuuma
Aisee kwahiyo sie mbuzi[emoji23].
Sawa bhana ni vizuri pia umemsapot aendelee kuchepuka halafu tena anaumia yeye.wanawake bhana.acha nicheke tu [emoji23][emoji23]
 
Ataumiaje?

Unajua utamu wa penzi jipya mkuu?????

Hata kisirani kitamuisha
Aisee kwahiyo sie mbuzi[emoji23].
Sawa bhana ni vizuri pia umemsapot aendelee kuchepuka halafu tena anaumia yeye.wanawake bhana.acha nicheke tu [emoji23][emoji23]
Hiyo mbuzi usiijali hapo imetumika kama KIVUMISHI CHA SIFA
 
Aisee kama kuna jambo wanawake wanakosea ni hilo, yaani utashangaa ameridhika amekuzoea utazani wewe huwezi waona wengine duuuh!!! Inaboa sana.
 
Mimi hapo naona ndio ukweli uliopo kwa sababu mimi binafsi nikimaliza hamu zangu kwa wife hata nikienda mtaani sina shida. Lakini umesubilishwa zaidi ya week alafu uko mtaani unakuta na pic kali. nishida wanawake mujiangalie sana sio kulia lia tu.
 
Kumpata mwanamke ambaye ni considerate, ndiyo maana kuna wanawake akivaa anaonekana kituko lakini hajali. Mwanamke ana miaka 60 lakini anavaa nguo juu ya Magoti! Hata hapa watu - nitawataja kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…