'Unafiki' huu sijauzoea japo ni mwana Simba SC tena 'lia lia' kabisa, jana tumecheza 'Mechi Mazoezi' na Green Warriors na Kufungwa je, mbona hatusemi?

'Unafiki' huu sijauzoea japo ni mwana Simba SC tena 'lia lia' kabisa, jana tumecheza 'Mechi Mazoezi' na Green Warriors na Kufungwa je, mbona hatusemi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mechi zote ambazo Klabu yangu 'pendwa' ya Simba SC imekuwea ikicheza hasa hizi zinazoitwa 'Mechi Mazoezi' tukishinda tu utaona katika Kurasa mbalimbali za Mitandao ya wana Simba SC na hata Klabu ya Simba huwa tunapewa 'Matokeo' haraka sana. Kwa mujibu wa Mtangazaji wa Clouds FM Shaffih Dauda jana mwishoni mwa Kipindi chao cha Michezo cha 'Sports Extra' alisema ( alihabarisha ) kuwa Simba SC ilicheza 'Mechi Mazoezi' na Timu ya Jeshi pale Mwenge Vinyago ya Green Warriors ambayo kiukweli huwa si tu inatusumbua lakini pia inatutesa kila tukikutana nayo na kama yetu Simba SC tulichezea 'Kichapo' kizuri tu kutoka Kwao.

Wana Simba SC Wenzangu hii 'dhana' kwamba Simba SC yetu haipaswi 'Kufungwa' tuiache na nimesikitika kuona taarifa hii haijaletwa Kwetu jana.
 
Yule mfungaji wa Goli Moja La Simba kasajiliwa lini? Au Ni Kikosi "C" kilicheza?
 
Iyo ni siri kwakua Mudi akisikia achelewi ku ghairi.

Basi kama Wao walifanya iwe 'Siri' namshukuru Shaffih Dauda kuiweka 'hadharani' na wana Simba SC hata habari 'mbaya' tuwe tunazisema tu pia.
 
Mbona hakukuwa na taarifa za hiyo mechi kabla ya mchezo!?
Huwa kunapokuwa na mchezo kabla ya siku ya mchezo huwa page za simba zinatangaza hata kama ni mazoezi, lakini hiyo ya green W sidhani kama ilitangazwa popote!
Lakini pia hiyo mechi haikushuhudiwa na mashabiki au waandishi wa habari!? Kama walihudhuria ni kwa nini hasi sasa hakuna picha za hiyi mechi!?
 
Na ili uone Simba SC tulivyo 'Wanafiki' yaani Mechi imechezwa Jana wakanyamaza na Masaa Mawili yamepita ndiyo wametuwekea Matokeo yake.
 
Simba wa Sikuhizi
JamiiForums-1906545819.jpg
 
Basi kama huu ndiyo 'Utaratibu' wake kweli nadhani 'hatoshi' kabisa kuwa CEO Wetu. GENTAMYCINE napenda Ukweli na Haki na nachukia Unafiki.
Acha kelele wewe, na kutafuta kick za kijinga
 
Na ili uone Simba SC tulivyo 'Wanafiki' yaani Mechi imechezwa Jana wakanyamaza na Masaa Mawili yamepita ndiyo wametuwekea Matokeo yake.
Mkuu nimetafuta vyanzo vyote vya habari vya club sijaona hayo matokeo,labda unisaidie kunambia ni chanzo kipi cha habari cha club ulipoyaona hayo matokeo
 
Back
Top Bottom