'Unafiki' huu sijauzoea japo ni mwana Simba SC tena 'lia lia' kabisa, jana tumecheza 'Mechi Mazoezi' na Green Warriors na Kufungwa je, mbona hatusemi?

Angalia hata manara amekanusha kwamba clouds hiyo habari wamezusha jana simba walikuwa gym hakukuwa na mechi yoyote

Hii 'Comment' unaileta Kwangu 'Mjumbe' tu nisiyeuwawa au unatakiwa uielekeze moja kwa moja Kwake 'Mbea' na 'Mnafiki' Shaffih Kajuna Dauda?
 

Mjumbe huwa 'hauwawi' au hujui hilo? Pelekeni 'lawama' zenu kwake 'Mnafiki' na 'Mbea' Mtangazaji na 'Boss' wa CMG Shaffih Kajuna Dauda sawa?
 
Shaffih Dauda sio mara ya kwanza kuzusha mambo ya uongo kwa klabu ya Simba imekuwa ni tabia yake sasa.
 
Hii inadhihirisha Tanzania tuna waaandishi na watangazaji makanjanja.
Leo nimeona Shafih akikanusha hiyo habari na kusema aliona kwenye page ya oscarjunior. Sasa najiuliza inakuwaje mwandishi mkubwa kama huyo anaripot habar bila kuwa na reliable source.
 
Manyani fc walikuwa wanatafuta nauli ya kagera
 
Ubwege kitu kibaya sana. Mtu unashindwa hata kutumia common sense.unaona matokeo hutumii hata akili kujiuliza huyo prince dube alisajiliwa lini na Simba?

Yaani Simba icheze mechi tz iwe siri? Hivi hivyo vichwa nyie wenzetu ni vya kazi gani?isije ikawa mnafugia nywele tu na pia kuwa kishikilio cha macho,masikio ,mdomo na pua.

 
Mods watoe hii takataka maana kuna vichwą vibovu vyenyewe vinăishia kuso heading tu kisha vinatiririsha utopolo wao bil@ kupitia maoni ambayo ndio yamebeba ukweli,
 
Imarisha Kwanza 'IQ' yako ili iwe inaweza 'Kunielewa' GENTAMYCINE na ukiona sasa ipo sawa na zimetimia 100% rudi tena hapa Kujibizana nami.
Hahahahahaha!! GENTAMYCINE pole mkuu...usijali kukosea na kujifunza ni hatua mojawapo ya kukomaa
 
Simba wamchukue Zahera atawasaidia sana
 
Haha haaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…