MNEKI
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 992
- 1,311
Unafiki wa hali ya juu utauona kwa Wanandoa wanaoishi mbalimbali miaka yote kwa kisingizio chochote , hasa Kazi.
Na hawafanyi jitihada zozote za makusudi kuonyesha hawakubaliani na huo mtawanyiko.,,,,Yani kwa kifupi Wana Amani.
Ukiangalia kwa mbali ni kama Kuna Ndoa ,,
Ukisogea karibu utagundua Kila mtu ana pumziko la moyo wake pembeni..
Neno la Mungu haliwezi kujipinga,,
"Alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe"
Ukitulia vizuri na Mungu utagundua
Hawezi kukubariki na Kazi kiasi kwamba ikakutenganisha na familia.
Tuache Unafiki.