Unafiki mwingine kwenye umbo lake halisi huu hapa!

Unafiki wa hali ya juu utauona kwa Wanandoa wanaoishi mbalimbali miaka yote kwa kisingizio chochote , hasa Kazi.
Na hawafanyi jitihada zozote za makusudi kuonyesha hawakubaliani na huo mtawanyiko.,,,,Yani kwa kifupi Wana Amani.

Ukiangalia kwa mbali ni kama Kuna Ndoa ,,
Ukisogea karibu utagundua Kila mtu ana pumziko la moyo wake pembeni..

Neno la Mungu haliwezi kujipinga,,

"Alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe"

Ukitulia vizuri na Mungu utagundua
Hawezi kukubariki na Kazi kiasi kwamba ikakutenganisha na familia.
Tuache Unafiki.
Acha kumsingizia Mungu.
Tajiri namba 1, Elon hana mke.

Una uchaguzi huru hakuna wa kukupangia, hata Mungu hakupangii.
 
Ni afadhali ambae Hana mke inajulikana kuliko aliyeoa lakini anadharau Ndoa.
Mbaya sana
 
Unafiki wa hali ya juu utauona kwa Wanandoa wanaoishi mbalimbali miaka yote kwa kisingizio chochote , hasa Kazi.
Na hawafanyi jitihada zozote za makusudi kuonyesha hawakubaliani na huo mtawanyiko.,,,,Yani kwa kifupi Wana Amani.

Ukiangalia kwa mbali ni kama Kuna Ndoa ,,
Ukisogea karibu utagundua Kila mtu ana pumziko la moyo wake pembeni..

Neno la Mungu haliwezi kujipinga,,

"Alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe"

Ukitulia vizuri na Mungu utagundua
Hawezi kukubariki na Kazi kiasi kwamba ikakutenganisha na familia.
Tuache Unafiki.
Ni kweli ila ccm ya sasa imemroga uyu mzee na mzee Wasira
 
Hiki kizazi kimechanganyikiwa sana
 
Ukweli mchungu hilo ni bomu kubwa sana.Mume unaishi kama senior bachelor, mke huko hivyo hivyo, watoto ni vurugu tu, mara kengine mdogo yuko kwa mama, mwingine kwako - hizi familia kama kuna house girl anayeeleweka au mama mdogo kuna hatari taratibu baba akaanza kuingia tamaa - saa nane usiku anaingia chumbani...Ni temptation kubwa sana....Wanaume hutamani kilichopo machoni.
Haya mambo yapo, na yameangusha wanaume wengi usijafanye shujaa au kisiki cha mpingi, utafedheheshwa- chukua hatua - ishi na mwenza wako pamoja.
 
Unakuta watoto wakishaharibika baadae Mzazi unataka Utoe laana wakati malezi yake hayakua mazuri.
Watoto Hawana Cha kujifunza toka kwa Wazazi wao
 
Ndoa nyingi hazipo ,fuata maslahi mambo ya ndoa kwa wafanyakazi ni changamoto...Tukubali mfumo na kama unataka kuoa mwajiri basi ni jambo haliepukiki.
Afadhali wewe angalau umekubali Kuna tatizo.
Kulijua tatizo ni sawa na 75% ya Utatuzi wake.

Una chance kubwa ya Kubadilika.
 
Back
Top Bottom