Muda mwingine Mungu anasingiziwa"Alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe"
Hawa unakuta walipuuza machale.Muda mwingine Mungu anasingiziwa
Mungu huona mbali kuliko mwanadamu, je inakuwaje aunganishe watu anaojua ipo siku watatengana? Je hawakupata hisia kuwa they do not match? Maana hizo hisia Mungu huwa anatoa in form of machale
Kifupi hilo ni tatizo kubwa lisiloongelewa katika jamii.Unafiki wa hali ya juu utauona kwa Wanandoa wanaoishi mbalimbali miaka yote kwa kisingizio chochote , hasa Kazi.
Na hawafanyi jitihada zozote za makusudi kuonyesha hawakubaliani na huo mtawanyiko.,,,,Yani kwa kifupi Wana Amani.
Ukiangalia kwa mbali ni kama Kuna Ndoa ,,
Ukisogea karibu utagundua Kila mtu ana pumziko la moyo wake pembeni..
Neno la Mungu haliwezi kujipinga,,
"Alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe"
Ukitulia vizuri na Mungu utagundua
Hawezi kukubariki na Kazi kiasi kwamba ikakutenganisha na familia.
Tuache Unafiki.
Wee jamaa unaogopa mkeo kugegedwa ata ukiwa kaburini 🤣🤣🤣🤣Fimbo ya mbali haiuwi nyoka.
Ova
Sii hamna stress kila mtu anaenjoy na bby wake wa kweliCha ajabu hizo ndoa huwa zinadumu na stress zinakuwaga chache sana
Am not so sure, I can't handle Yan Ata ukiwa mitaa kumi kutoka napoishi penzi linaweza likafa Sasa out of region mkuu so ndo noma🥶Cha ajabu hizo ndoa huwa zinadumu na stress zinakuwaga chache sana
Sasa jamani mlitaka watesane kama nyinyi?Sii hamna stress kila mtu anaenjoy na bby wake wa kweli
Kama kuna ukweliUnafiki wa hali ya juu utauona kwa Wanandoa wanaoishi mbalimbali miaka yote kwa kisingizio chochote , hasa Kazi.