Acha kumsingizia Mungu.Unafiki wa hali ya juu utauona kwa Wanandoa wanaoishi mbalimbali miaka yote kwa kisingizio chochote , hasa Kazi.
Na hawafanyi jitihada zozote za makusudi kuonyesha hawakubaliani na huo mtawanyiko.,,,,Yani kwa kifupi Wana Amani.
Ukiangalia kwa mbali ni kama Kuna Ndoa ,,
Ukisogea karibu utagundua Kila mtu ana pumziko la moyo wake pembeni..
Neno la Mungu haliwezi kujipinga,,
"Alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe"
Ukitulia vizuri na Mungu utagundua
Hawezi kukubariki na Kazi kiasi kwamba ikakutenganisha na familia.
Tuache Unafiki.
Ni kweli ila ccm ya sasa imemroga uyu mzee na mzee WasiraUnafiki wa hali ya juu utauona kwa Wanandoa wanaoishi mbalimbali miaka yote kwa kisingizio chochote , hasa Kazi.
Na hawafanyi jitihada zozote za makusudi kuonyesha hawakubaliani na huo mtawanyiko.,,,,Yani kwa kifupi Wana Amani.
Ukiangalia kwa mbali ni kama Kuna Ndoa ,,
Ukisogea karibu utagundua Kila mtu ana pumziko la moyo wake pembeni..
Neno la Mungu haliwezi kujipinga,,
"Alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe"
Ukitulia vizuri na Mungu utagundua
Hawezi kukubariki na Kazi kiasi kwamba ikakutenganisha na familia.
Tuache Unafiki.
Unakuta watoto wakishaharibika baadae Mzazi unataka Utoe laana wakati malezi yake hayakua mazuri.Ukweli mchungu hilo ni bomu kubwa sana.Mume unaishi kama senior bachelor, mke huko hivyo hivyo, watoto ni vurugu tu, mara kengine mdogo yuko kwa mama, mwingine kwako - hizi familia kama kuna house girl anayeeleweka au mama mdogo kuna hatari taratibu baba akaanza kuingia tamaa - saa nane usiku anaingia chumbani...Ni temptation kubwa sana....Wanaume hutamani kilichopo machoni.
Haya mambo yapo, na yameangusha wanaume wengi usijafanye shujaa au kisiki cha mpingi, utafedheheshwa- chukua hatua - ishi na mwenza wako pamoja.
kinachodumu hapo sio ndoa bali ni appearance na uongo kuwa ndoa ipoCha ajabu hizo ndoa huwa zinadumu na stress zinakuwaga chache sana
Afadhali wewe angalau umekubali Kuna tatizo.Ndoa nyingi hazipo ,fuata maslahi mambo ya ndoa kwa wafanyakazi ni changamoto...Tukubali mfumo na kama unataka kuoa mwajiri basi ni jambo haliepukiki.