We ni takataka kabisa, hujui mpiraI nyota tu iliwaka kwake!! But hana uwezo wowote kulinganisha na kina msuva,Ngasa.... Mafaniokio ya mpira mara zote huendana na nyota ya mtu.
Msuva na Ngasa wamebarikiwa mbio tu
Ila Samatta hio ni habari nyngne bro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ni takataka kabisa, hujui mpiraI nyota tu iliwaka kwake!! But hana uwezo wowote kulinganisha na kina msuva,Ngasa.... Mafaniokio ya mpira mara zote huendana na nyota ya mtu.
Tupe huo uhabari nyingine ni upo?, Amefanya nini kwenye mpira ambacho hakijafanywa?.unataka unachokipenda ww na wengine wakitazame sawa na wwe?.We ni takataka kabisa, hujui mpira
Msuva na Ngasa wamebarikiwa mbio tu
Ila Samatta hio ni habari nyngne bro
Ajibu ni kwelialikuwa na ubora fulani lakini alivimbishwa bichwa na media, mwishowe akawa anafanya mambo mengi anaharibu mpira wenyewe.Sijawahi kuwaelewa watanzania kuhusu Haruna Moshi na Ajibu kuwaona ni wachezaji bora.
Uongo!!!Ana mataji kadhaa ya champion league Africa CAF
Kitu kipo wapi sasa kama hakipo hapaHamna kitu hapo
Watu mna roho ngumu asee.I nyota tu iliwaka kwake!! But hana uwezo wowote kulinganisha na kina msuva,Ngasa.... Mafaniokio ya mpira mara zote huendana na nyota ya mtu.
Naunga mkonoAna mataji kadhaa ya champion league Africa CAF
TUZO YA MCHEZAJI BORA WA NDANI AFRICA
Mfungaji Bora wa CAF
Kucheza team kadhaa ulaya
Best in scoring,dribling skill , shooting nk
Hakika uyu mtu tumsifie kabla hajafariki
Kipaji haswa
Thomas UlimwenguNani mtanzania analo?