Unafiki sio jadi yangu Samatta Mbwana ndiyo best football player ever in Tanzania history na huenda asijekutokea kama yeye

Unafiki sio jadi yangu Samatta Mbwana ndiyo best football player ever in Tanzania history na huenda asijekutokea kama yeye

I nyota tu iliwaka kwake!! But hana uwezo wowote kulinganisha na kina msuva,Ngasa.... Mafaniokio ya mpira mara zote huendana na nyota ya mtu.
We ni takataka kabisa, hujui mpira
Msuva na Ngasa wamebarikiwa mbio tu

Ila Samatta hio ni habari nyngne bro
 
We ni takataka kabisa, hujui mpira
Msuva na Ngasa wamebarikiwa mbio tu

Ila Samatta hio ni habari nyngne bro
Tupe huo uhabari nyingine ni upo?, Amefanya nini kwenye mpira ambacho hakijafanywa?.unataka unachokipenda ww na wengine wakitazame sawa na wwe?.
 
Sijawahi kuwaelewa watanzania kuhusu Haruna Moshi na Ajibu kuwaona ni wachezaji bora.
Ajibu ni kwelialikuwa na ubora fulani lakini alivimbishwa bichwa na media, mwishowe akawa anafanya mambo mengi anaharibu mpira wenyewe.
Ila boban aisee, acha tu yule muhuni alikuwa anajua boli, ila ndio hivyo, chochote bila akili ni sawa na hakuna
 
Ana mataji kadhaa ya champion league Africa CAF

TUZO YA MCHEZAJI BORA WA NDANI AFRICA

Mfungaji Bora wa CAF

Kucheza team kadhaa ulaya

Best in scoring,dribling skill , shooting nk

Hakika uyu mtu tumsifie kabla hajafariki

Kipaji haswa
Naunga mkono
 
Tupe huo uhabari nyingine ni upo?, Amefanya nini kwenye mpira ambacho hakijafanywa?.unataka unachokipenda ww na wengine wakitazame sawa na wwe?.
Kacheza Europe kashinda CAF champions league kacheza UEFA nk
 
Back
Top Bottom