Jamaa kapiga kwenye mshono[emoji23][emoji23][emoji23].
Hawa watu ni viumbe wa ajabu sana,na kama siku wangeachana na hako katabia,ingekuwa jamii bora sana.
Juzi kuna mtaalam aliuliza humu,wale wamatumbi pale sudan wanaokufa kama nzi mbona hatusikii matamko na hashtag za”we stand with sudan”???