Unafiki wa WanaCCM ndiyo huu sasa

Unafiki wa WanaCCM ndiyo huu sasa

Shetani anapotajwa kwenye nyumba za ibada tangu Babu yako hajazaliwa hadi leo naye anapewa promo ?
hao watu wa nyumba za ibada ndio wazinzi,walevi,wala rushwa wakubwa kuliko hata wasiofanya ibada.

chunguza utajua kati ya hao na wasioingia nyumba za ibada wepi wanaongoza kwa kuanguka mapepo.
 
hakika mkuu,haters wake ndio wanamimina nyuzi mfululizo
wanatumia negative movement kumkuza!.
Kifupi wanamfuatilia na ukiona mtu anamfuatilia sana mtu mwingine ujue huyo mtu anayefuatiliwa ana kitu ambacho mfuatiliaji hana au ana muogopa ....

Ni sawa na Ccm wanapoanzaga kujadili uenyekiti wa Mbowe ..huwa naonaga ni hofu tu
 
Tuliau: CCCM husomba wananchi Kwa malori Ili wasipate adha ya kutembea muda mrefu.
 
Hili ni eneo lile lile na watu walewale, Ya Juu akiwa Mwenezi, Ya Chini akiwa RC mtoto mpendwa wa mama

Tafakari mwenyewe

huku ni kumchochea mtajwa ajulikane zaidi, awe maarufu zaidi, azungumzwe zaidi, aonekane zaidi kwenye jamii na midia, ajae zaidi katika ndimi, mioyo na fikra za wanainchi wote, mpaka kule ground chini kabisaa 🐒

then ikifika wakati muafaka sasa, anasema anataka kuwa Fulani katika nchi hii. Mpinzani, chama chake, asie na chama wote watakua wanamjua na wanamfahamu vema, kabla hata hajatangaza dhamira yake hiyo huko mbeleni. Na hii itakua rahisi sana kwa yeye sasa kuyafikia malengo yake 🐒

So,
this move by social media activists to make this gentleman popular, is very significant politically speaking for the man to achieve his political ambitions in the near future 🐒
 
Shetani naye kwenye nyumba za ibada anapaishwa ? Maana anatajwa kabla babu wa babu yako hajazaliwa
 
Shetani naye kwenye nyumba za ibada anapaishwa ? Maana anatajwa kabla babu wa babu yako hajazaliwa
Yes,
Mashetani mnampiga mishale inayomuimarisha na kumfannya Makonda awe Mtakatifu zaidi na jemedari hodari wa vita dhidi ya mashetani dhaifu sana na wenye gubu dhidi ya kufanikiwa kwake 🐒

na bado, huu ni mwanzo. Mtamtukuza na kumshambulia sana tu kila uchwao kwa nyimbo na mapambiio yote ya kishetanni, anakua Imara zaidi 🐒

Mtashindana lakini hamtashinda 🐒
 
Unachopaswa kukifahamu ni hiki , Shetani hajawahi kuwa na Rafiki
 
Sera tuliondoka nazo na akina Slaa, Mkumbo, etc 2015 baada ya chama kukodishwa kwa Lowasa. Sasa hivi zimebaki porojo na kusema pipozi tu.
CHADEMA inanishangaza sana. Yaani sera na ajenda zao zilibadilika ghafla tu, baada ya National Housing Kudai pango lao la mjengo walioukodi Familia ya Mbowe.

Wakageuza dira, a kupoteza dira, wakaanza Uharakati, mtazamo ukageuka-wakakengeuka-wakaanza kufuata nyongo na makasiriko ya Mbowe kana ndio sera za Chama
Magu walimsingizia hajui siasa. Weee!

Makasiriko, vinyongo na ulipizaji visasi ndio ukawa muongozo wa kauli za wapiga debe, wana harakati, yaani mkakati mzima ukawa-sisi watoto wa mjini- tuone hapa kama pata kalika, kwa lugha yao walisema kiunagaubaga "tutawayumbisha, na patakuwa hapatawaliki" ....hapa ndipo natamani kuweka sauti ya Hayatil Rais hapa yaani, 'wewe' 'heee'

Halikadhalika, sio wafuasi wa CCM yetu, au CHADEMA au vyama vingine vya Kisiasa Vikaona ukengeukaji wa Uongozi huo -Wakaunga "Juhudi".

Kiufupi,Wananchi walikuwa na matamanio ya maendeleo, na mvushaji hakuwa mwingine bali, Commandante Comrade Dkt. John Pombe Magufuli AKA Jiwe!, Hayat Rais wa JMT.

CHADEMA ikawa imejizika rasmi, wakajiunga na kuunga juhudi za mafisadi na kutengeneza mazingira ya hovyo kuwahi kutokea Tanzania. Yani sera zikawa kwishnei.

eniweyi, wanendeleza porojo, wana fukuzana na kaburi, wanampasuko wa 'Mwelekeo wa Chama na Sera zake' Uongozi wa juu na hata nani atakuwa mrusha bendera kufika 2025.

itaendelea.....
 
1.Kikokotoo cha zamani kwa wafanyakazi
2.Katiba mpya
3. Ajira
4.Umeme
5.Tozo
6..
.
.
.
Kuyabandika hayo yote bila ya kuonyesha vielelezo bayana, ni kutuchanganya Watanzania. CCM ina ilani yao inayoeleza bayana sera zao.

Sasa wewe umesema Ajira, hiyo ajira mtachuma mtini?

Tozo? Kwamba mtaondoa tozo kwa Wananchi wa Chini, au mtaomdoa tozo kwa "Mabilionea" wenu? na Wafanyabishara je?

CHADEMA hamna sera, na mpaka mkituwekea bayana hapa, tutaendelea kuwachagua CCM mpaka 2055 mtakapo komaa. tunawasii muache siasa za Uharakati na ahadi hewa.
 
Back
Top Bottom