Unafiki wa WanaCCM ndiyo huu sasa

Unafiki wa WanaCCM ndiyo huu sasa

Kuyabandika hayo yote bila ya kuonyesha vielelezo bayana, ni kutuchanganya Watanzania. CCM ina ilani yao inayoeleza bayana sera zao.

Sasa wewe umesema Ajira, hiyo ajira mtachuma mtini?

Tozo? Kwamba mtaondoa tozo kwa Wananchi wa Chini, au mtaomdoa tozo kwa "Mabilionea" wenu? na Wafanyabishara je?

CHADEMA hamna sera, na mpaka mkituwekea bayana hapa, tutaendelea kuwachagua CCM mpaka 2055 mtakapo komaa. tunawasii muache siasa za Uharakati na ahadi hewa.
Kwa vile Mama yako ni Katibu Kata basi ndio unabisha kila kitu ?
 
Back
Top Bottom