Unafiki wa watu wanaopinga ushoga katika nchi za kihafidhina

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Kwa nini watu wengi wa mataifa yanayopinga ushoga hasa kutoka Africa na Asia huwa wanakimbilia mataifa yanayoruhusu ushoga badala ya yale yasiyoruhusu ushoga?

Mfano Ghana imepitisha Sheria kali za ushoga nchini kwake ila raia wake wamejazana kama wahamiaji halali na haramu Africa Kusini hadi wanatimuliwa kwa vurugu! Kwa nini wasije Tanzania?

Pia watu wanaopinga sana ushoga Africa ni wafuatiliaji na supporters wazuri sana wa shughuli nyingi zinazounga ushoga Magharibi mfano Mpira, Movies na Muziki
 
1780821460345.png
 
Pia watu wanaopinga sana ushoga Africa ni wafuatiliaji na supporters wazuri sana wa shughuli nyingi zinazounga ushoga Magharibi mfano Mpira, Movies na Muziki.
Ghana ushoga uko waziwazi na wazungu wengi huenda huko kutafuta wapenzi
 
We kua tu shoga hakuna wa kukunyonga mkunduU ni wako bwana Yoda lkn usitake kulifanya jambo la kawaida na kuripa promo
Ukitatuliwa ww inatosha
Kwa nini Watanzania wengi wanakimbilia South Africa nchi inayoruhusu na iliyojaa ushoga?
Kwa nini wasikimbilie Misri, Nigeria, Ghana na nchi nyingine nyingi zenye msimamo mkali dhidi ya ushoga?
 
Ni sawa na wanasiasa, wanasema ulaya magharibi ni mabeberu lakini ndiko wanakotegemea kupewa financial support.
 
Inashangaza sana jinsi Binadamu wengi walivyokuwa ni watu wenye mikanganyiko na double standards nyingi sana.
 
Pia watu wanaopinga sana ushoga Africa ni wafuatiliaji na supporters wazuri sana wa shughuli nyingi zinazounga ushoga Magharibi mfano Mpira, Movies na Muziki
Unamaanisha kwamba km hupendi ushoga usiangalie mpira km hupendi ushoga usiangalie movie km hupendi ushoga basi usisikilize muziki si ndio hivyo? Ngoja niende Church kwanza nimesahau kitu pale nilipokua nimekaa
 
Kwa nini watu wengi wa mataifa yanayopinga ushoga hasa kutoka Africa na Asia huwa wanakimbilia mataifa yanayoruhusu ushoga badala ya yale yasiyoruhusu ushoga?

Mfano Ghana imepitisha Sheria kali za ushoga nchini kwake ila raia wake wamejazana kama wahamiaji halali na haramu Africa Kusini hadi wanatimuliwa kwa vurugu! Kwa nini wasije Tanzania?

Pia watu wanaopinga sana ushoga Africa ni wafuatiliaji na supporters wazuri sana wa shughuli nyingi zinazounga ushoga Magharibi mfano Mpira, Movies na Muziki
Umeandika ujinga
Jifunze kujenga hoja kwa mada unataka kuiwakilisha
Ghana kupiga marufuku ushoga inahusiana nini na wahamiaji Sauzi?
Kushabikia mpira au kuangalia movies kunahusina nini na kupinga ushoga?
 
Kwa nini wapinga ushoga wa Africa nchi zenye msimamo mkali wa kupinga ushoga kama Russia, Iran na za Uarabuni sio kipaumbele chao?
Kwa hiyo wewe unasapoti?
 
Huku kitaa, watu wanakula mitura sana, yaani mitura inaliwa kwa kwenda lembe.
Majuzi nadhani umeona ile clip ya yule poti anasema vijana wanajifunza kula mitura kutoka kwa wazazi wao.
 
Umeandika ujinga
Jifunze kujenga hoja kwa mada unataka kuiwakilisha
Ghana kupiga marufuku ushoga inahusiana nini na wahamiaji Sauzi?
Kushabikia mpira au kuangalia movies kunahusina nini na kupinga ushoga?
Huku JF hakuna harakati za kujitenga, kuwatenga na kujiweka mbali na mashoga na ushoga??
Hakuna watu wanaipinga Israel kwa sababu inaruhusu ushoga?
 
Mpuuzi huyo mkuu
 
Huku JF hakuna harakati za kujitenga, kuwatenga na kujiweka mbali na mashoga na ushoga??
Hakuna watu wanaipinga Israel kwa sababu inaruhusu ushoga?
Kwa hiyo mjomba ulikuwa unataka watu wote humu jukwaani wachangamane na nyinyi siyo! Nyoosha maelezo yako. Usiishie tu kwenye kutoa malalamiko.
 
Back
Top Bottom