Unafiki wa watu wanaopinga ushoga katika nchi za kihafidhina

Unafiki wa watu wanaopinga ushoga katika nchi za kihafidhina

Wananchi wanaopinga ushoga ndio wanaokimbia nchi zinazopinga ushoga kukimbilia nchi zenye ushoga.
Mbona unaweweseka
Yaani niache kwenda nje kusoma au kutafuta maisha kwa kuwa napinga ushoga?
Unadhani huko kwao hakuna wanaopinga ushoga? Nenda US au UK wamejaa wapinga ushoga na ni hao hao wazungu,
Juzi tu hapa serikali ya UK na US zilikataza waliojibadilisha kuwa wanawake kushiriki michezo ya wanawake na kupitisha sheria kabisa kuwa mwanaume hawezi kujiita mwanamke

1780832359179.png
 
Suala la kiuchumi na ushoga yana mahusiano gani?
Hata kwenye nchi hizo zilizo halalisha ushoga kuna mamilion ya raia wanao pinga ushoga kwahiyo hao raia wanatakiwa kuzikana nchi zao na kuhamia kwenye nchi zinazo kataza ushoga?
Au kwa sababu ww hupendi mirungi basi hutakiwi kwenda kuishi kenya ambayo mirungi inaruhusiwa?
Ww jamaa mbona una hoja za kipumbavu sana?
Ufilipino , India ambapo ushoga ni kitu kinacho fanya waziwazi mbona raia wake wamejazana mashariki ya kati wakifanta vibarua?

Ww kama umeamuwa kuwa shoga kuwa shoga kimpango wako sio kushinda humu kutwa kuanzisha vimada vya kujitetea mwisho utaonekana kilaza.
Nilifikiri kwa Wahafidhina hasa wa Tanzania maadili ndio jambo kubwa zaidi na kipaumbele namba moja kuliko uchumi!
 
Mbona unaweweseka
Yaani niache kwenda nje kusoma au kutafuta maisha kwa kuwa napinga ushoga?
Unadhani huko kwao hakuna wanaopinga ushoga? Nenda US au UK wamejaa wapinga ushoga na ni hao hao wazungu,
Juzi tu hapa serikali ya UK na US zilikataza waliojibadilisha kuwa wanawake kushiriki ya wanawake na kupitisha sheria kabisa kuwa mwanaume hawezi kujiita mwanamke

View attachment 3602918
Nilifikiri kwa Wahafidhina wapinga ushoga maadili ndio kipaumbele namba moja halafu masuala mengine kama hayo ya uchumi, elimu ndio yanafuatia baadaye!
 
99% mkiambiwa muishi na Taleban ambao mna share nao imani na maadili au US gay capital of the world, tunajua mtachagua wapi😁
Wengi wanasema watachagua uchumi mzuri, elimu nzuri na uhuru mkubwa kwanza, suala la ushoga itabidi lisubiri kidogo!😁
 
Why umetaja wawili Tu kwani hakuna politician wengine Tofauti na hao?

1. Ayoub khan (Kashmir) waziwazi amesema yupo against LGBT rights msome hapa
Wa Birmingham huyu

2. Fiona onasanya (Nigeria origin) wa Peterborough, famous kwa kura yake ya kupinga watoto kufundishwa USHOGA mashuleni.

3. Ranil Jawardena (Sri lanka) naye ni katika politician ambao wapo against LGBT bungeni,

4. Suella Braver man (India) huyu alifukuzwa kabisa bungeni kwa remarks zake za kukataa USHOGA

List ni ndefu hao wote ni wa UK Tu, so kuna migrants kibao ambao nao wanatetea views zetu na kupambana huko, soft war but it helps.

Hata hao kina mamdani Wana vitu vingi Tu wanavyotetea ambao hao wazungu wanavyifanya ni vibaya wanawarekebisha.
Ayoub Khan anaongelea "personal" belief yake, hafanyi harakati yoyote kupinga ushoga,

Fiona Anasonya anapiga ushoga kufundishwa shuleni( wapo watu wengi wanaounga mkono ushoga ila hawapendi ushoga kufundishwa mashuleni au shughuli kama za pride month), hata hivyo Fiona alishatimuliwa ubunge na wapiga kura wake.

Ranil Jawardena alikuwa anasapoti haki sawa kwa wote ikiwemo mashoga

Huyo Suella ndiye alikuwa kinyume na ushoga kwa wazi.
 
Nilifikiri kwa Wahafidhina hasa wa Tanzania maadili ndio jambo kubwa zaidi na kipaumbele namba moja kuliko uchumi!
Mada zako nyingi zinaonesha uwezo wako wa kufikiri uko chini sana au huo ushoga unao ufanya umekufanya ukose hizo akili.
Suala la ushoga ni suala la maadili kutokana na jamii husika.
Hata humu Tz kuna jamii mbali mbali ambazo zina maadili tofauti ,mfano ww hapo ulipo unapinga ukeketaji kwa hiyo hutakiwi kwenda mikoa yenye jamii ya wamasai kutafuta furusa za kiuchumi?

Hoja yako ingekuwa na maana iwapo ungekuwa ukienda kwenda kwenye hizo nchi unarazimishwa kuwa shoga.
 
Ukeketaji ni kosa la jinai Tanzania nzima.

Kwani mnapoharamisha ushoga Tanzania na kuufanya jinai au kutaka mashoga wauwawe kabisa huwa kuna mtu anamlazimisha mtu kuwa shoga?
 
Kwa nini watu wengi wa mataifa yanayopinga ushoga hasa kutoka Africa na Asia huwa wanakimbilia mataifa yanayoruhusu ushoga badala ya yale yasiyoruhusu ushoga?

Mfano Ghana imepitisha Sheria kali za ushoga nchini kwake ila raia wake wamejazana kama wahamiaji halali na haramu Africa Kusini hadi wanatimuliwa kwa vurugu! Kwa nini wasije Tanzania?

Pia watu wanaopinga sana ushoga Africa ni wafuatiliaji na supporters wazuri sana wa shughuli nyingi zinazounga ushoga Magharibi mfano Mpira, Movies na Muziki
Mkuu umepiga kwenye kidonda. Ni unafiki na nakuhakikishia kuwa nchi zetu zina mashoga wengi kuliko huko kwa mabeberu.
 
Mada zako nyingi zinaonesha uwezo wako wa kufikiri uko chini sana au huo ushoga unao ufanya umekufanya ukose hizo akili.
Suala la ushoga ni suala la maadili kutokana na jamii husika.
Hata humu Tz kuna jamii mbali mbali ambazo zina maadili tofauti ,mfano ww hapo ulipo unapinga ukeketaji kwa hiyo hutakiwi kwenda mikoa yenye jamii ya wamasai kutafuta furusa za kiuchumi?

Hoja yako ingekuwa na maana iwapo ungekuwa ukienda kwenda kwenye hizo nchi unarazimishwa kuwa shoga.
Mkuu usipoteze nguvu zako na muda wako kwa huyo Empty set.
 
Hapo nakuuliza wewe binafsi
Huwa sielewi maana au msingi wa hili swali kwenye huu mjadala. Kwa mfano mimi sisapoti ndoa ya wake wengi wala nisingependa dada zangu waolewe katika ndoa za wake wengi lakini sioni kama ndoa za wake wengi ni haramu au jinai, pia sijali maamuzi ya mtu binafsi kuoa wake wengi au kuolewa ndoa ya wake wengi,
Hapo unaniweka upande gani??
 
Nakuweka upande wa mtu aliyekwepa swali langu

Swali langu ni rahisi sana wala halihitaji maelezo mengi na mifano ya ufafanuzi.

Wewe binafsi unasapoti swala la uchoko?
 
Nakuweka upande wa mtu aliyekwepa swali langu

Swali langu ni rahisi sana wala halihitaji maelezo mengi na mifano ya ufafanuzi.

Wewe binafsi unasapoti swala la uchoko?
Kusapoti uchoko unamaanisha nini?
 
Kusapoti ushoga
Kama unamaanisha mashoga kuwa na haki sawa na raia wengi wote na kutohesabiwa wahalifu, ndio nasapoti wapewe haki sawa na raia wengine wote.
 
Kwa Africa hii Sijaona nchi inayoweza kusimama na kupinga ushoga ile serious.
Sana ni Raia na wananchi wenye ugumu wa maisha na Umaskini Uliotopeaa, unawasababishia hasira, msongo wa mawazo, na kuona Mashoga/ushoga ndipo Pa kutulia hasira zao.

Tena km Bongo hapa ndio kabisaaa, hawana wanalojua wala kuweza, wao wanaweza kubwata na kuandika mitandaoni.

Ila huku kitaaa watu wanafirana na hawajali wala ninii.

MASHOGA/USHOGA WOYEEEEEEE!!!
Ushoga, ukahaba, ni changamoto za kijamii ambazo tutaendelea kua nazo kwa muda mrefu kwasababu zina wateja wengi.
 
Si kweli, bila hizo Rasilimali wasingekua hapo walipo, wakati wazungu wanakuja kuchukua hizo Rasilimali hawakuwa matajiri na tech kubwa kushinda Uchina, India, Persia etc. kupitia hizo rasilimali waliweza wapita hao.

Nchi yoyote ikikomaa na Rasilimali zao inapigwa fasta Tu.
Wapiiii? Sio kwa Africa, Lol
 
Wapiiii? Sio kwa Africa, Lol
Kama chini soma, Leo Congo wakijifungia Tu hapo miaka kadhaa bila kitu kutoka ama kuingia Makampuni kibao ya Tech yanadondoka, sababu wewe hufuatilii haimaanishi vitu havifanyiki.
 
Kama chini soma, Leo Congo wakijifungia Tu hapo miaka kadhaa bila kitu kutoka ama kuingia Makampuni kibao ya Tech yanadondoka, sababu wewe hufuatilii haimaanishi vitu havifanyiki.
Mmmh
 
Back
Top Bottom