Mbona unawewesekaWananchi wanaopinga ushoga ndio wanaokimbia nchi zinazopinga ushoga kukimbilia nchi zenye ushoga.
Yaani niache kwenda nje kusoma au kutafuta maisha kwa kuwa napinga ushoga?
Unadhani huko kwao hakuna wanaopinga ushoga? Nenda US au UK wamejaa wapinga ushoga na ni hao hao wazungu,
Juzi tu hapa serikali ya UK na US zilikataza waliojibadilisha kuwa wanawake kushiriki michezo ya wanawake na kupitisha sheria kabisa kuwa mwanaume hawezi kujiita mwanamke