Ghana ushoga uko waziwazi na wazungu wengi huenda huko kutafuta wapenziKwa nini watu wengi wa mataifa yanayopinga ushoga hasa kutoka Africa na Asia huwa wanakimbilia mataifa yanayoruhusu ushoga badala ya yale yasiyoruhusu ushoga?
Mfano Ghana imepitisha Sheria kali za ushoga nchini kwake ila raia wake wamejazana kama wahamiaji halali na haramu Africa Kusini hadi wanatimuliwa kwa vurugu! Kwa nini wasije Tanzania?
Pia watu wanaopinga sana ushoga Africa ni wafuatiliaji na supporters wazuri sana wa shughuli nyingi zinazounga ushoga Magharibi mfano Mpira, Movies na Muziki.
Kwa nini Watanzania wengi wanakimbilia South Africa nchi inayoruhusu na iliyojaa ushoga?We kua tu shoga hakuna wa kukunyonga mkunduU ni wako bwana Yoda lkn usitake kulifanya jambo la kawaida na kuripa promo
Ukitatuliwa ww inatosha
Ni sawa na wanasiasa, wanasema ulaya magharibi ni mabeberu lakini ndiko wanakotegemea kupewa financial support.Kwa nini Watanzania wengi wanakimbilia South Africa nchi inayoruhusu na iliyojaa ushoga?
Kwa nini wasikimbilie Misri, Nigeria, Ghana na nchi nyingine nyingi zenye msimamo mkali dhidi ya ushoga?
Mwanadamu bila double stds is dead.Inashangaza sana jinsi Binadamu wengi walivyokuwa ni watu wenye mikanganyiko na double standards nyingi sana.
Unamaanisha kwamba km hupendi ushoga usiangalie mpira km hupendi ushoga usiangalie movie km hupendi ushoga basi usisikilize muziki si ndio hivyo? Ngoja niende Church kwanza nimesahau kitu pale nilipokua nimekaaPia watu wanaopinga sana ushoga Africa ni wafuatiliaji na supporters wazuri sana wa shughuli nyingi zinazounga ushoga Magharibi mfano Mpira, Movies na Muziki
Umeandika ujingaKwa nini watu wengi wa mataifa yanayopinga ushoga hasa kutoka Africa na Asia huwa wanakimbilia mataifa yanayoruhusu ushoga badala ya yale yasiyoruhusu ushoga?
Mfano Ghana imepitisha Sheria kali za ushoga nchini kwake ila raia wake wamejazana kama wahamiaji halali na haramu Africa Kusini hadi wanatimuliwa kwa vurugu! Kwa nini wasije Tanzania?
Pia watu wanaopinga sana ushoga Africa ni wafuatiliaji na supporters wazuri sana wa shughuli nyingi zinazounga ushoga Magharibi mfano Mpira, Movies na Muziki
Kwa hiyo wewe unasapoti?Kwa nini wapinga ushoga wa Africa nchi zenye msimamo mkali wa kupinga ushoga kama Russia, Iran na za Uarabuni sio kipaumbele chao?
Huku JF hakuna harakati za kujitenga, kuwatenga na kujiweka mbali na mashoga na ushoga??Umeandika ujinga
Jifunze kujenga hoja kwa mada unataka kuiwakilisha
Ghana kupiga marufuku ushoga inahusiana nini na wahamiaji Sauzi?
Kushabikia mpira au kuangalia movies kunahusina nini na kupinga ushoga?
Mpuuzi huyo mkuuUmeandika ujinga
Jifunze kujenga hoja kwa mada unataka kuiwakilisha
Ghana kupiga marufuku ushoga inahusiana nini na wahamiaji Sauzi?
Kushabikia mpira au kuangalia movies kunahusina nini na kupinga ushoga?
Kwa hiyo mjomba ulikuwa unataka watu wote humu jukwaani wachangamane na nyinyi siyo! Nyoosha maelezo yako. Usiishie tu kwenye kutoa malalamiko.Huku JF hakuna harakati za kujitenga, kuwatenga na kujiweka mbali na mashoga na ushoga??
Hakuna watu wanaipinga Israel kwa sababu inaruhusu ushoga?