Sasa huoni ni ujinga unakataa kuchangamana na mashoga Tanzania halafu unaondoka nchi iliyoharamisha ushoga unaenda kuchangamana nao Ulaya, Marekani au Africa Kusini?!Kwa hiyo mjomba ulikuwa unataka watu wote humu jukwaani wachangamane na nyinyi siyo! Nyoosha maelezo yako. Usiishie tu kwenye kutoa malalamiko.
Kwa hiyo watu wote wanaopingana na ushoga wameondoka kwenye nchi zao na kuhamia kwenye hizo nchi ulizozitaja na zilizokithiri kwa huo uchafu!Sasa huoni ni ujinga unakataa kuchangamana na mashoga Tanzania halafu unaondoka nchi iliyoharamisha ushoga unaenda kuchangamana nao Ulaya, Marekani au Africa Kusini?!
Uzi wako unaweza ukauweka vice versa.Kwa nini watu wengi wa mataifa yanayopinga ushoga hasa kutoka Africa na Asia huwa wanakimbilia mataifa yanayoruhusu ushoga badala ya yale yasiyoruhusu ushoga?
Mfano Ghana imepitisha Sheria kali za ushoga nchini kwake ila raia wake wamejazana kama wahamiaji halali na haramu Africa Kusini hadi wanatimuliwa kwa vurugu! Kwa nini wasije Tanzania?
Pia watu wanaopinga sana ushoga Africa ni wafuatiliaji na supporters wazuri sana wa shughuli nyingi zinazounga ushoga Magharibi mfano Mpira, Movies na Muziki
Huoni Wazungu wakichukua madini na mafuta wanaziharibu vibaya nchi wanazochukua hizo rasilimali mfano Tanzania?Uzi wako unaweza ukauweka vice versa.
.Heading ikawa kama hivi
"UNAFIKI WA MATAIFA YA WAZUNGU WANAOKUBALI USHOGA"
Halafu kwenye maelezo ya Uzi ukaandika Jinsi wazungu walivyo wanafiki Wana support USHOGA ila kila siku wanaenda Nchi zinazopinga USHOGA kuchukua Madini, Mafuta, kufanya nao biashara etc
😂😂😂Huku kitaa, watu wanakula mitura sana, yaani mitura inaliwa kwa kwenda lembe.
Majuzi nadhani umeona ile clip ya yule poti anasema vijana wanajifunza kula mitura kutoka kwa wazazi wao.
Hata wa Africa wanaharibu hizo Nchi hii sio hoja, sasa hivi kuna Right wings kibao hawataki migrants kwenye Nchi zao. Kila MTU ana Fanya lake kwa upande wake.Huoni Wazungu wakichukua madini na mafuta wanaziharibu vibaya nchi wanazochukua hizo rasilimali mfano Tanzania?
Labda ungesema wanahamia nchi zinazoharamisha ushoga ungekuwa na hoja.
Sio sahihi unachosema, Mamdani na Sadiq Khan wanaunga mkono LGBQT kwa nguvu sana huko Marekani na Uingereza, wahamiaji wengi wakifika huko wanabadilika na kuanza kuunga mkono ushoga au kujiepusha kuupinga.Hata wa Africa wanaharibu hizo Nchi hii sio hoja, sasa hivi kuna Right wings kibao hawataki migrants kwenye Nchi zao. Kila MTU ana Fanya lake kwa upande wake.
Ukienda US, UK etc kuna Hadi mameya wahindi ambao lifestyle Yao inapingana na uovu wa hao wazungu.
So usidharau soft power ya migrants.
Hata Wazungu wasifike huku Africa, hizo rasilimali zao zitawafaidisha nini bila kupata vifaa vya kubadilisha ziwe malighafi?Uzi wako unaweza ukauweka vice versa.
.Heading ikawa kama hivi
"UNAFIKI WA MATAIFA YA WAZUNGU WANAOKUBALI USHOGA"
Halafu kwenye maelezo ya Uzi ukaandika Jinsi wazungu walivyo wanafiki Wana support USHOGA ila kila siku wanaenda Nchi zinazopinga USHOGA kuchukua Madini, Mafuta, kufanya nao biashara etc
Wananchi wanaopinga ushoga ndio wanaokimbia nchi zinazopinga ushoga kukimbilia nchi zenye ushoga.Mbona unajichanganya.?
Umesema serikali zao zinakataa ushoga alafu unashangaa wananchi wao Mashoga kukimbia nchi zao.sasa hapo usichoelewa ni kipi?
Si wameenda Kwa Mashoga wenzao.unafiki wa nchi hizo ni upi?
Hilo swali ungemuuliza Makebo nadhani ungepata jibu la maanaMambo gani yanahesabiwa ni ku support ushoga?
Mfano kuwa shabiki wa Arsenal ni kuunga mkono ushoga?
View attachment 3602861
Kwa hio ulimaanisha nini kusema tusiangalie movie sababu zinatangaza ushoga au tusicheze mpira sababu zinahamasisha mfano wanawake wa league mbalimbali za kule ulaya wanaoana wenyewe kwa wenyewe tena bila aibu kabisa eeh umeona vizuri hapo wanawake nawazungumzia sio wanaume wanawake wanaoana wenyewe kwa wenyewe huyu anachezea timu ile na yule anachezea timu ile wanaoana unashangaa hio Bendera ya Arsenal hujaiona ya Chelsea?Wananchi wanaopinga ushoga ndio wanaokimbia nchi zinazopinga ushoga kukimbilia nchi zenye ushoga.
Si kweli, bila hizo Rasilimali wasingekua hapo walipo, wakati wazungu wanakuja kuchukua hizo Rasilimali hawakuwa matajiri na tech kubwa kushinda Uchina, India, Persia etc. kupitia hizo rasilimali waliweza wapita hao.Hata Wazungu wasifike huku Africa, hizo rasilimali zao zitawafaidisha nini bila kupata vifaa vya kubadilisha ziwe malighafi?
Africa inawahitaji sana wazungu, kuliko Wazungu kuwahitaji Africa.
Timu zote na ligi zote za Ulaya pamoja na mashirikisho ya mpira ya nchi UEFA wana support ushoga, hiyo Arsenal ni kama mfano tu.Kwa hio ulimaanisha nini kusema tusiangalie movie sababu zinatangaza ushoga au tusicheze mpira sababu zinahamasisha mfano wanawake wa league mbalimbali za kule ulaya wanaoana wenyewe kwa wenyewe tena bila aibu kabisa eeh umeona vizuri hapo wanawake nawazungumzia sio wanaume wanawake wanaoana wenyewe kwa wenyewe huyu anachezea timu ile na yule anachezea timu ile wanaoana unashangaa hio Bendera ya Arsenal hujaiona ya Chelsea?
Sawaa.ukiona kaondoka ujue anaupenda.Wananchi wanaopinga ushoga ndio wanaokimbia nchi zinazopinga ushoga kukimbilia nchi zenye ushoga.
99% mkiambiwa muishi na Taleban ambao mna share nao imani na maadili au US gay capital of the world, tunajua mtachagua wapi😁Unamaanisha kwamba km hupendi ushoga usiangalie mpira km hupendi ushoga usiangalie movie km hupendi ushoga basi usisikilize muziki si ndio hivyo? Ngoja niende Church kwanza nimesahau kitu pale nilipokua nimekaa
Aisee bado unazidi kupuyanga tu, kupinga ushenzi wa mauaji yanayofanywa na israeli inahusiana nini na kupinga ushoga?Hakuna watu wanaipinga Israel kwa sababu inaruhusu ushoga?
Sio sahihi unachosema, Mamdani na Sadiq Khan wanaunga mkono LGBQT kwa nguvu sana huko Marekani na Uingereza, wahamiaji wengi wakifika huko wanabadilika na kuanza kuunga mkono ushoga au kujiepusha kuupinga.