Unafikiri Diamond akiendelea na aina hii ya Muziki atanusa tena tuzo za Kimataifa?

Mmmh tuache unafiki zilipendwa nouma

carnte himself
 
Unaweza kukuta wewe mwenye elimu yako haufikii hata robo ya maisha yake.
 
Zilipendwa haitamuacha mtu salama.Ubunifu wa hali ya juu asee.Ni mara ya 12 naitazama hii video.Kumbe ndio maana watu wamepaniki asee
 
Diamond anapambana na hali yake..!
Na wewe pambana na hali yako mama msomi..!
 
Huna akili wewe kwani diamond katoa wimbo mmoja tu, anaangalia analenga nini huu wimbo kalenga hapa home zaid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…