Black Opal
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 233
- 298
Hatuishi mtandaoniWewe unafikiri ni kwanini hutakiwi kuanika maisha yako binafsi mtandaoni? Kuna faida yoyote ya kufanya hivyo
Mtoto wa kike ana sura na shape yake nzuri,Habari Wakuu,
View attachment 2614072
Wengi tumekuwa tunapokea ama kutoa ushauri kwa watu kuacha kuanika maisha yao binafsi mtandaoni. Baadhi wanaelewa huku wengine ikionekana maneno yanaingia sikio moja na kutokea jingine.
Baadhi wamepata madhara kwa kuanika maisha yao mtandao huku wengine wakifaidika na hilo kwa kutembea na kiki.
Wewe unafikiri ni kwanini hutakiwi kuanika maisha yako binafsi mtandaoni? Kuna faida yoyote ya kufanya hivyo?
Ni aina glani ya uoga na unafiki unaotusumbua watanzania na Africa kwa ujumla wake .Mkianzisha uzi kutaka maoni ya wengine, wekeni yenu kwanza
Wengine huanza na mapito na mapitio yao ili wengine wajifunze, kisha wanauliza wengine maoniNi aina glani ya uoga na unagiki unaotusumbua watanzania na Africa kwa ujumla wake .
Mtu anataka apewe ushauri kwa kutumia matatizo ya watu wengine .
Mtoto wa kike ana sura na shape yake nzuri,
Anajipigapiga picha anaanika mtandaoni.
Muhuni wanachukua picha anaenda kupost huko kwamba anauza papa. Tena anatoa kubwa na ndogo.
Kidogo kidogo hizo post zinafika kwa mzazi wake au mume wake mtarajiwa.
Unadhani atajitetea ataeleweka?
Ni basi tu watu wanakaza mafuvu.
Sioni faida au hasara ilio dhahiri, ila mimi binafsi utashi wangu nikuishi simple humble life, nisipate kujulikana sanaa na watu, ndio furaha yangu.Habari Wakuu,
View attachment 2614072
Wengi tumekuwa tunapokea ama kutoa ushauri kwa watu kuacha kuanika maisha yao binafsi mtandaoni. Baadhi wanaelewa huku wengine ikionekana maneno yanaingia sikio moja na kutokea jingine.
Baadhi wamepata madhara kwa kuanika maisha yao mtandao huku wengine wakifaidika na hilo kwa kutembea na kiki.
Wewe unafikiri ni kwanini hutakiwi kuanika maisha yako binafsi mtandaoni? Kuna faida yoyote ya kufanya hivyo?
Kwasababu hii ni dunia yao. Mbinguni ni kwà wanaume.Aisee huo utoto wa kupost mambo mtandaoni tuwaachie mademu
Kwa sababu haituhusu...
Ungeleta reference ya maoni yako au backup yoyote ingependeza sana kwasbb umeongelea vitu vyenye spiritual connection.Kwasababu hii ni dunia yao. Mbinguni ni kwà wanaume.
Note: Wanawake wanapenda sana wanaume wachaMungu, wakati wanaume wao Hupenda sana wanawake wenye hofu ya Mungu.
Reason is, Wanaume hutegemea sana kupata Elimu kutoka kwà Wanawake, wakati wanawake hutegemea kupata maarifa kutoka kwà wanaume.
Na ndio maana, palipo na Mafanikio ya Mwanaume ,..nyuma yake yupo Mwanamke mwenye hofu ya Mungu ( Bodyguard)
90% ya wanawake hawana hofu ya Mungu na wala hawapendi kwenda Mbinguni. Kwahiyo Mwanaume akijichanganya akakutana na Mwanamke wa hovyo....meaning hataweza kurudi Mbinguni ( huko juu ) bali atabaki mateka hapa duniani ( kwà Wanawake )
Kama wewe kweli ni Mwanaume,...fanya uwezavyo, ...urudi kwà Baba Yako wa kweli aliyeko mbinguni.Inadepend mtu na ntu.