Unafikiri ni kwanini hutakiwi kuanika maisha yako binafsi mtandaoni?

Unafikiri ni kwanini hutakiwi kuanika maisha yako binafsi mtandaoni?

Ungeleta reference ya maoni yako au backup yoyote ingependeza sana kwasbb umeongelea vitu vyenye spiritual connection.
Wanawake hutumia nguvu kubwa sana kupambana ili wanaume wasiweze kwenda Mbinguni.

Wengi wanapenda wanaume wachaMungu kwà lengo la kuwaweka mateka. Hii ni dunia ya wanawake. Na ili uweze kutoboa kama Mwanaume hapa duniani lazima uwe very humble and obedient. I mean, kuwa mkimya, mtulivu, Kunyamaza na kuwa mwenye subira.

Wanaume 90% wako monitored + controlled na wanawake spiritually in this earth. Wakati 10% wao wako monitored + controlled na Mungu ( Baba yao ) ...na wanapitia alot of stuffs kwàsababu ya nuru + Mwanga wanaotembea nao hapa kwenye dunia iliyojaa giza totoro.
 
Mkianzisha uzi kutaka maoni ya wengine, wekeni yenu kwanza
Mkuu ndio umeanza na jiwe 🤣 🤣 🤣, kuweka maisha yako private ni muhimu kwa maoni yangu, mtu asipokujua sana hatakuwa na sababu ya kukushambulia.

Wengine wanaona hawana vitu vya maana kuweka mtandaoni hivyo hawaoni shida, lakini hujui nani anapitia kurasa zako, unaweza usipate madhara ya mwili lakini ukakosa mchongo wa maana kutokana na mambo unayoweka mtandaoni ukaonekana ni wa hovyo
 
Black Opal

For your Psychologically Peace of Mind..I personally advise 👇👇👇

There are always trolls/cyber bullies/jerks out there that want to make fun of you..where people with a low self esteem want to get stepped on..All social media is horrible..media too.. If you are ready to face the consequences..you can do it..If you do decide to do it..always stay on the safe side by not giving out any personal data of yourself🐒

Everyone you know will eventually see your pictures and associate your posts with them🤦
They can bully you online because they know who you are😞

Take that photo down with you asking if you are ugly😔..If I can go through your posts..so can everyone you know..Avoid personal details that can be used to identify you online

So it’s more of disadvantages apart of its advantages😊👋

Simply Advise for your Carrier Growth 👇👇👇
Depends on what you post and what type of career you plan on having..😊

These days social media can bite you in the ass over something you did when you were young and dumb🤦

More companies are checking new hire's online presence as well when deciding on hiring and it'll only get worse🤦

My Personally Recommendations👇👇👇

Stop posting pics its clearly dangerous and your getting unwelcome attention..I suggest take you images down🐒

No Social Media is safe for posting pictures 😊👋
 
Maisha yanatakiwa yawe Siri kwà 90% na wazi kwà 10% . Kila mtu kaumbiwa vinasaba vyake humu duniani.

Si vyema kutoa siri ya vinasaba vyako. Ni vyema uishi kwà kutoeleweka na kwà kuwapa watu maswali mengi.

Maisha ni fumbo la imani na pia ni mfano wa Upendo.

What people don't understand, they call names,...And what they understand they destroy.

Watu wengi sana wameharibiwa , kuibiwa na hata kuuliwa kwasababu ya kuweka maisha yao wazi kwà 90% na huku wakificha siri zao kwà 10% .

Note: Ukianika siri zako , then unabecome a prey,......utaanza kuwindwa pasipo wewe kujua both physically & spiritually. Na ndio maana kama unapenda kufanya hivyo....jitahidi sana kuwa na Elimu ya kutosha pamoja na Maarifa ya kutosha.

Hofu ya Mungu itakupa Elimu ( Bodyguard)
Kumcha Mungu kutakupa Maarifa (Security Guard)

Kumbuka watu wengi huangamia kwà Kukosa Security Guard ( Maarifa )
Umesema yote Mkuu🙌🙌
 
Black Opal

For your Psychologically Peace of Mind..I personally advise 👇👇👇

There are always trolls/cyber bullies/jerks out there that want to make fun of you..where people with a low self esteem want to get stepped on..All social media is horrible..media too.. If you are ready to face the consequences..you can do it..If you do decide to do it..always stay on the safe side by not giving out any personal data of yourself🐒

Everyone you know will eventually see your pictures and associate your posts with them🤦
They can bully you online because they know who you are😞

Take that photo down with you asking if you are ugly😔..If I can go through your posts..so can everyone you know..Avoid personal details that can be used to identify you online

So it’s more of disadvantages apart of its advantages😊👋

Simply Advise for your Carrier Growth 👇👇👇
Depends on what you post and what type of career you plan on having..😊

These days social media can bite you in the ass over something you did when you were young and dumb🤦

More companies are checking new hire's online presence as well when deciding on hiring and it'll only get worse🤦

My Personally Recommendations👇👇👇

Stop posting pics its clearly dangerous and your getting unwelcome attention..I suggest take you images down🐒

No Social Media is safe for posting pictures 😊👋
Ushauri mzuri sana huu Mkuu
 
Back
Top Bottom