Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Usiku umekuwa mchungu kwa Nape na Januari Makamba, tena Nape katenguliwa akiwa akiwa kwenye warsha! Pale unaenda sehemu kama waziri unaondoka mbunge!
Makamba naye alitoa boko lake, huenda hiki ndio kimemuondoa: Kauli ya January Makamba ''hata kama hatumkubali Samia ni wetu'', ina maana gani kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi
Wewe unafikiri nini kimewaondoa wawili hawa kwenye nafasi ya Uwaziri? Kwa nape ni kauli yake ya 'utani' kuhusu ushindi wa Box? Na kwa Makamba je? Byabato naye kaliwa kichwa, itakuwa Nape kamponza!
Au Mama alisoma pendekezo la Erythrocyte - Pendekezo: Nape Nnauye avuliwe Uwaziri haraka kwa kauli hii aliyoitoa jimbo la Bukoba Mjini
Pia soma: Nape Nnauye: Nawapa pole na naomba radhi kwa kauli yangu ya ushindi nje ya boksi
Nyie mnaonaje wakuu?